Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

Kuna walitaka kusikia jiwe kadanja. Ufipa imejaa mbatata kiasi hiki? Hivi unamuombea mtu kufa, wewe unajua utaishi miaka mingapi?
 
Hahahaha mkuu,you won't be serious,Kama Mambo ni mengi ukiwa na akili unadelegete power
Mengine yanamhusu yeye tu. Ila pia naye umri umeenda na mambo ni mengi na mshtuko wa kufiwa na mentor na yote yaambatanayo na umri wake. Hata hivyo amejitahidi sana.
 
Mengine yanamhusu yeye tu. Ila pia naye umri umeenda na mambo ni mengi na mshtuko wa kufiwa na mentor na yote yaambatanayo na umri wake. Hata hivyo amejitahidi sana.
I am so sorry for you.huyu hawezi ,anazidiwa na mwanamama? She was there on time
 
I am so sorry for you.huyu hawezi ,anazidiwa na mwanamama? She was there on time
Hahaha mkuu umemaliza kabisa. Maana yule mama msaidizi mpaka aamke ajiandae kwa kujipodoa. Ni kawaida ya mama zetu kuwa warembo. Bado tu aisee. Ila nasema alikuwa na issue muhimu au hata kuchoka. Msiba mzito huu kwake please.
 
dubu kwani hata kama Rais Dkt. Magufuli asingetokea hapo Hayati Mzee Mkapa ndiyo angefufuka / Maziko yake yasingeendelea? Mnakera mno!!!!!
 
Vijana wa Lumumba akili hamna kabsa, Jana akina lema tumewananga kuchelewa uwanja wa Taifa hadi kutoruhusiwa kuingia,
Leo Jpm kachelewa kulingana na ratiba waliokua wamejiwekea wenyewe watu kuulizia kujua aliko Raisi wetu imekua nongwa, sio sahihi ,ni Raisi wa wote sio wa CCM tu. Sasa ka kuna jambo lingemkuta Raisi wetu.
Kama Raia wake tuna haki ya kujua kiongozi wetu alipo.
 
Back
Top Bottom