Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

Nilichojifunza kifo cha mkapa ni kwamba hata ukiwa mbabe duniani, mbinguni wote sawa, pamba zitahusika kwenye matobo yote ya mwilini
Wewe unajifunza kwa Mkapa! Toka enzi na Enzi walikuwepo wababe wa vita Akina alexander the great, Mafarao wa misri, wafalme waliotukuka kibao lakini wao pia na wewe na mimi bila uzuri wetu ama ubaya wetu tutalala kama wao. - Apumzike kwa Amani BWM.
 
Mama yetu mpendwa, mke wa Rais John pombe magufuli hajaonekana katika mazishi ya Marehem benjamin mkapa. Nini tatizo? Hata kwenye kumuaga hajaonekana.

Marais wengine mbona wapo sambamba na wake zao?
Labda hicho ndicho kilichomchelewesha!
 
Leo watu watakuwa wamepigwa ubao mpaka wamekoma; uanzia saa 12 mpaka saa hizi bado ratiba inaendelea!!
 
Kuna taharuki fulani inayoashiria kuna jambo. Podium ilipoletwa alitakiwa aongee yeye, ikabidi aitwe Shein, Shein alipomaliza muongoza shughuli alitangaza kuwa Rais anatakiwa aongee, walinzi wakampa ishara aache kwanza lakini Mzee akasimama akawaita wastaafu Kikwete na Mwinyi.

Kikwete akazungumza japo kwa utani ila alimaanisha “Mheshimiwa Rais tuwe tunapeana taarifa kabla.”
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu lazima atang’amua jambo.
You are G T
 
Hivi mzee anajua anachoongea? Je Kama Mkapa alikuwa mchapa kazi na hakuwa na masihara na kazi,kwanini hakutaka aongezewe miaka Kama anavyofanya Sasa kwa magufuli
Ni maoni yao na hata wewe unaweza kupeleka yako kupinga au kukubali.
Tutulie tuko msibani.
 
Hahahaha, JF now nowadays inapoteza sifa, Umati wote uliopo lupaso ,wamekosa info kwann rais kachelewa msibani

Watu wanatoa lawama wkt walikua hawajui muhusika yuko wapi ,hahahaha
Hahaha wazee wa lawama si unajua tena

Ova
 
Kwa taarifa yako wasiompenda jiwe ni wanaccm baada ya jamaa kukifanya chama mali yake binafsi hakuna wa kuhoji chochote.

Juzi Lissu kasema hata kinana na makamba hawako salama na hutakuja kusikia wakikanusha hii kauli ya Lissu maana ndo ukweli wenyewe....

Acheni kusingizia watu wengine.
Msije mkawaita wasaliti watakapopanda majukwaani kumnadi Magufuli na kuwaponda wapinzani. Subiri kampeni zianze
 
Hapa Mtwara mji mzima umeme ulikatika saa mbili na nusu asubuhi ukarudi saa nne na dakika arobaini na tano. Baada ya kama dakika ishirini mpaka thelathini nikaona msafara wa Mhe Raisi ukitoka Ikulu ndogo na kuelekea Masasi,nilikuwa karibu tu tu maeneo ya Ikulu ndogo Mtwara.

Sijui kuna mahusiano gani kati ya kuchelewa kwa Mhe Raisi na kukatika umeme!!!
 
Sijaona mnyonge hata mmoja au mkulima wa korosho ameitwa kuweka shada la maua.

Kweli uongozi ni vitendo. Hahaa!
Hata Mimi nimechoka kabisa,yaani hata kumpa nafasi mwenyekiti wa Kijiji Cha lupaso kwa niaba ya wanyonge wenzake wameshindwa? That was not fair
 
Back
Top Bottom