chidy said
Member
- Oct 20, 2019
- 66
- 124
Mama samiha nae katokaimeshapinduliwa-pinduliwa mnoo
Mama samiha nae katokaimeshapinduliwa-pinduliwa mnoo
Hii hapa.....Kwani ratiba ya leo inasemaje?
Covid 19 imebisha hodi Huko? Tujuze ya huko basiKINACHO FATA NI TARATIBU ZA MAZISHI
Jamaa yupo sahihi sana.
That is according to you. You need to recall that this govt projected tanzanians to pray for LISSU. Yet they want us to pray for them. God has no double standards.
Nilisoma heading tu kujaribu kufungua haupo. Tusibiri labda ataandika tena kwa mtindo mwingine (maandishi ya mcharazo.Ameongelea nini Mkuu?tupe dodoso kidogo
Kuna uwezekano mkubwa JPM yupo Kigoma sasa hivi.
Katoka kwenda wapi?Mama samiha nae katoka
Magufuli aendagi kwenye mazishi full stop.Aisee hebu mliopo online tuambieni Mh. Rais bado hajafika msibani kuzika? Moyo unanidunda sana hakika. Rais wangu mathubuti
Kwa mujibu wa ratiba ilitakiwa by now mazishi yawe tayari yashakamilika na probably watu washarejea Dar tayari.Hii hapa.
Labda kaenda kumpokea mkuuKatoka kwenda wapi?
Taharuki. Haonekani kiti chake ki wazi, hatujui amepatwa na nini.
Mimi hapa najiuliza watazika jioni sana. Yaani too sad wameshindwa kwenda na ratiba. Hawa wanaoaga kwa nini hawakuaga jana?Kwa mujibu wa ratiba ilitakiwa by now mazishi yawe tayari yashakamilika na probably watu washarejea Dar tayari.
Hahah mkuu mi Naangalia TBC ndio wanatuambia taratibu za mazishi zinafuata. Ni kwamba hasubiriwi tena Raisi yaani!!Covid 19 imebisha hodi Huko? Tujuze ya huko basi
Ndo anafikaAisee hebu mliopo online tuambieni Mh. Rais bado hajafika msibani kuzika? Moyo unanidunda sana hakika. Rais wangu mathubuti