Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

dubu,

Mkuu bado hajafika tunamsubiria hapa, bado yuko pale Mtwara tunaendelea kuwapa wananchi nafasi ya kumuaga mpendwa wao ni vyema kila mtu apate nafasi ya kumuaga kipenzi cha wanakusini watu wametoka Mbinga na maeneo mengine itakuwa si vyema warudi bila kutoa salamu za mwisho.
 
Kama aliondoka mtwara saa 4:14 asubuhi basi now atakuwa anakaribia au kufika kabisa.
 
Let's continue praying for Tundu Lissu!!

Not only Mr. Tundu Antipasi Lissu who deserves our prayers but also any person matters in this country including our President, Dr. John Joseph Pombe Magufuli. For biblical purposes, all two persons mentioned herein are human beings who need our utmost prayers.
 
Kuna mtu aliandika mahali tokea wiki iliyopita kuwa kamwe hatahudhuria shughuli ya kuzika, (siyo zile shughuli za kuaga uwanjani)... jana wakati magu anaingia mtwara wadau wakamnanga kweli kweli lakini yeye akazidi kusimamia msimamo wake kwamba hataonekana kwenye maziko!

Aisee muda ni mwalimu mzuri sana!
Mnapoteza muda wenu kufikiria negative/utopolo mbona kahudhuria
 
Kashindwe na ulegee wewe wakala wa lusiferi. Mh Rais JPM ni mtu anaye maanisha anachoongea na kilicho ujaza moyo wake. Anapokuambia anajali watu wa hali ya chini jua ana maanisha hivyo kweli si kinafiki. Ndio maana ameona ni vema umati wa watu wa chini na maskini wapiate fursa ya kupita na kutoa heshima za mwisho kwa mpendwa wao. Mpaka sasa tangu zoezi hili liaanze zaidi 11,000 wamesha pita. Si limbukeni Huyu wa mambo ya kukutana nayo ukubwani.
Angejali watu wa hali ya chini angewaibia wahanga wa tetemeko bukoba rambirambi?
 
Msafara wake umenipita njian huku lindi vijijini
 
Back
Top Bottom