Kigoma Shwari!!!!
Ametangaza saa 6 kamili mchana mpaka sasa huo muda wowote haujulikaniMC ametangaza kuwa muda wowote Rais anaingia hapo.
Zipi mkuukigoma kuna movement zisizoeleweka kwenye idara zote nyeti
TWOHivi Membe yupo hapo, aisee
ni masaa mawili sasa yamepita since huyo MC anasema maneno hayo.MC ametangaza kuwa muda wowote Rais anaingia hapo.
Kigoma kaenda kufanya nini?amini nakwambia JPM yupo kigoma
Kigoma anqtafuta nini na msiba upo Lupaso?amini nakwambia JPM yupo kigoma
Hahahahaha akawe mkuu wa mkoa kataviKwa mujibu wa Le mutuz na cyprian Musiba
Bashite anahaha sana wamempelekea utitiri wa wanganga wa kienyeji wamsaidie kupata cheo kingine kikubwa endapo jina halitarejea Kigamboni
Nasikia Mganga wa Bashite ndiye alikuwa msawazisha mambo. Kwa design hii Bashite anarudi soon!Kafara za Bashite zinamwewesesha sana, ujue waganga 66 waliopo kwa Bashite siyo wachache wanahaha vibaya sana
Zipi mkuu
Hiyo ilikuwa kama nusu saa iliyopita!MC ametangaza kuwa muda wowote Rais anaingia hapo.
Jiwe anakaribia Lupaso now!nyingi tu ila mojawapo ni kufungwa kwa barabara kuu
Utafiti wa TWAWEZA ulikua ni kweli.Kashindwe na ulegee wewe wakala wa lusiferi. Mh Rais JPM ni mtu anaye maanisha anachoongea na kilicho ujaza moyo wake. Anapokuambia anajali watu wa hali ya chini jua ana maanisha hivyo kweli si kinafiki. Ndio maana ameona ni vema umati wa watu wa chini na maskini wpate fursa ya kupitia na kutoa heshima ta mwisho kwa mpendwa wao. Mpaka sasa tangu zoezi liaanze zaidi 11,000 wamesha pits. Si limbukeni Huyu wa mambo ya kukutana nayo ukubwani.
Apewe katibu Tawala wilaya ya Songeahahahahaha akawe mkuu wa mkoa katavi
Wanasiasa karibu wote lazima watie mguu kilingeni kwa wagangaHistoria inaonesha toka aingie madarakani huwa hahudhirii misiba na majanga makubwa ya kitaifa. Huwa anaenda baada ya siku kadhaa nyingi kupita...
Mfano, msiba wa watoto wa shule kule Arusha mwaka jana, hakwenda kabisa...
Janga la tetemeko la ardhi lililosababisha uharibifu mkubwa mikoa ya kanda ya ziwa hususani mkoa wa Kagera, hakwenda kwa wakati. Alikwenda baada ya siku kadhaa na mnaokumbuka aliishia kutoa maneno ya kashfa kwa wahanga...
Mwenendo na tabia hii ya Rais Magufuli, ilipelekea watu kuanza kuumiza kichwa na hata kuhoji, kulikoni.....? Maana haikuwa ya kawaida tofauti na watangulizi wake...
Hata hili kama mzee huyu atazikwa pasipo uwepo wake, ndiyo litachochea zaidi shauku ya watu kutaka kujua kulikoni?
Sababu haiwezi kuwa ya "kuumia au kujisikia machungu ya kifo ya mzee huyu". Mimi kwa kweli nafsi yangu inakataa hili mpaka kesho...!!
Mimi naamini ipo sababu nyingine inayopanga utaratibu huu tena ikiwa na uhusiano na imani za kichawi, kiuaguzi, matambiko na ushirikina.....
Huyu mzee hata kutosafiri nje ya nchi hususani nje ya bara la Afrika na badala kuwakilishwa tu na wasaidizi wake, lina connection na hisia hizi. Iwe isiwe, tutajua tu hata wajifiche vipi...!!