minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,510
- 22,529
Kafara za Bashite zinamwewesesha sana, ujue waganga 66 waliopo kwa Bashite siyo wachache wanahaha vibaya sanaUsikute mama na shangazi zao sasa nao wamefanya wanachoweza.
Jeuri dawa yake kiburi
Kafara za Bashite zinamwewesesha sana, ujue waganga 66 waliopo kwa Bashite siyo wachache wanahaha vibaya sanaUsikute mama na shangazi zao sasa nao wamefanya wanachoweza.
Jeuri dawa yake kiburi
Ngoja niende page ipi inahizo tetesiNendeni twittiiii
Jana katua Mtwara.Ila asubuhi hii bado hajafika Lupaso. Sijui kwa nini kachelewa.Aliyeko Lupaso atujuze tulio mbali na TV
Sawa akija utujuze tumpe mkono wa pole.Hawezi kukaa hapo muda wote auze sura kwa nani,atakuja tu usijali kumbe mnamisi baba e
Tafuta ugali wa wanao weweee!!Kwani imekuwaje wajameni mbona mnanipa taharuki
Jakaya, Mwinyi wote wapo.Jakaya vipi nae yupo!
Yeye bado ana zile box alichukua Madagaskar akiamini zitamkinga sanaDepotivo la Corona itakua imejua kutupatia burudani katikati ya sherehe.
Ngoja niende page ipi inahizo tetesi
PoaAns Ngurumo ila pia ipo taarifa ya Facebook aliitoa Dr William mtanzania wa USA toka Jana asubuhi
Balaa kwa jiweLipi?
Ndoto ya covid 19 si bora uweke wazi ili waziri wa Afya azinduke apige marufuku Salam za kushikana mikono watu waanze kunawa mikono kuvaa barakoa kupaka vitakasa mikono kwa ile speed ya mwezi March AprilMimi leo kuna ndoto nimeota na inashangaza sana japo naiweka kabatini msiba upite nitaitoa na najuwa huu mwaka huwezi kuisha basi inawezekana kabisa tukaimba nyimbo zaidi na waliokuwa mgongoni wakianza kutafuta namna ya kushuka na kukimbia bila kujuwa wanaelekea wapi
au ule moshi wa Ruangwa umemfuata tena,?Naamini atakuwepo tu, tusubirie muda wa maziko ufike. Atakuja kuweka shada la maua na kuondoka.
Mkuu
Mbona Unataka Kuleta Uchochezi
Nyie mnaonana kwenye anga zenu, kwani mmeondoka Gamboshi saa ngapi?Yupo wewe ndio humuoni!
Kigoma Shwari!!!!kigoma kuna movement zisizoeleweka kwenye idara zote nyeti