Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

Historia inaonesha toka aingie madarakani huwa hahudhirii misiba na majanga makubwa ya kitaifa. Huwa anaenda baada ya siku kadhaa nyingi kupita.

Mfano, msiba wa watoto wa shule kule Arusha mwaka jana, hakwenda kabisa...

Janga la tetemeko la ardhi lililosababisha uharibifu mkubwa mikoa ya kanda ya ziwa hususani mkoa wa Kagera, hakwenda kwa wakati. Alikwenda baada ya siku kadhaa na mnaokumbuka aliishia kutoa maneno ya kashfa kwa wahanga.

Mwenendo na tabia hii ya Rais Magufuli, ilipelekea watu kuanza kuumiza kichwa na hata kuhoji, kulikoni? Maana haikuwa ya kawaida tofauti na watangulizi wake.

Hata hili kama mzee huyu atazikwa pasipo uwepo wake, ndiyo litachochea zaidi shauku ya watu kutaka kujua kulikoni?

Sababu haiwezi kuwa ya "kuumia au kujisikia machungu ya kifo ya mzee huyu". Mimi kwa kweli nafsi yangu inakataa hili mpaka kesho.

Mimi naamini ipo sababu nyingine inayopanga utaratibu huu tena ikiwa na uhusiano na imani za kichawi, kiuaguzi, matambiko na ushirikina.

Huyu mzee hata kutosafiri nje ya nchi hususani nje ya bara la Afrika na badala kuwakilishwa tu na wasaidizi wake, lina connection na hisia hizi. Iwe isiwe, tutajua tu hata wajifiche vipi!
 
Kaanza safari asubuhi toka Mtwara kwenda Lupaso, kwa hiyo akienda na chopa anawahi ila akienda na gari atachelewa maana kuna kaumbali Mtwara Masasi, na kutoka Masasi Lupaso.
Raisi aliwasili Lupaso jana jana jioni kilichotokea ndio hatujui ila kuwasili mtwara aliwasili tokea jana
 
Historia inaonesha toka aingie madarakani huwa hahudhirii misiba na majanga makubwa ya kitaifa. Huwa anaenda baada ya siku kadhaa nyingi kupita.

Mfano, msiba wa watoto wa shule kule Arusha mwaka jana, hakwenda kabisa.

Janga la tetemeko la ardhi lililosababisha uharibifu mkubwa mikoa ya kanda ya ziwa hususani mkoa wa Kagera, hakwenda kwa wakati. Alikwenda baada ya siku kadhaa na mnaokumbuka aliishia kutoa maneno ya kashfa kwa wahanga.

Mwenendo na tabia hii ya Rais Magufuli, ilipelekea watu kuanza kuumiza kichwa na hata kuhoji, kulikoni? Maana haikuwa ya kawaida tofauti na watangulizi wake.

Hata hili kama mzee huyu atazikwa pasipo uwepo wake, ndiyo litachochea zaidi shauku ya watu kutaka kujua kulikoni?

Sababu haiwezi kuwa ya "kuumia au kujisikia machungu ya kifo ya mzee huyu". Mimi nakataa mpaka kesho. Ipo sababu nyingine tena ikiwa na uhusiano na imani za kichawi, kiuaguzi, matambiko na ushirikina.

Huyu mzee hata kutosafiri nje ya nchi mara kwa mara, lina connection na hisia hizi. Iwe isiwe, tutajua tu hata wajifiche vipi!
Usikute mama na shangazi zao sasa nao wamefanya wanachoweza.

Jeuri dawa yake kiburi
 
dubu,
Mimi Ukana shilungo nipo.BADO TUNAMSUBIRI NA WATU NI WENGI WANAENDELEA KUAGA.

HAKUNA SABABU YA KUTIA SHAKA TUMETANGAZIWA TUNAMSUBIRI.
 
Back
Top Bottom