TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 11,431
- 31,527
Funguka mkuu. Kama twita wanethibutu JF mnaogopa Nini?Kuna tetesi zishaanza kutembea Twitter huko.
Let's meet at the top, cheers [emoji1635]
Funguka mkuu. Kama twita wanethibutu JF mnaogopa Nini?Kuna tetesi zishaanza kutembea Twitter huko.
Let's meet at the top, cheers [emoji1635]
Ndio kiti chake akalie shein?Mimi Ukana shilungo nipo.BADO TUNAMSUBIRI NA WATU NI WENGI WANAENDELEA KUAGA.
HAKUNA SABABU YA KUTIA SHAKA TUMETANGAZIWA TUNAMSUBIRI.
Ishia kusema "NI RAIS WETU"Si jambo baya kuuliza ni RAIS wetu ambaye tunampenda na tulitangaziwa alishafika Mtwara kwa kwa ajili ya kumzika mpendwa wetu. Kwa upendo binafsi lazima tujiulize why haonekani. Kwa nia njema. Yeye ni binadamu anaweza kupata dharura, lakini yeye ni kiongozi wetu si vibaya tukaambiwa.
RIP BWM tutakukumbuka daima
Depotivo la Corona itakua imejua kutupatia burudani katikati ya sherehe.Funguka mkuu. Kama twita wanethibutu JF mnaogopa Nini?
Ni Muhimu sana hili.....Ishia kusema "NI RAIS WETU"
Habari ya kumpenda haina umajumui.
Ukome kutujumuisha kwenye mambo yasiyofaa.
Hilo sijui nipo nasubiriNdio kiti chake akalie shein?
Acha uongo, jiwe kalala mtwara, ametoka leo saa 10:15Raisi aliwasili Lupaso jana jana jioni kilichotokea ndio hatujui ila kuwasili mtwara aliwasili tokea jana
Historia inaonesha toka aingie madarakani huwa hahudhirii misiba na majanga makubwa ya kitaifa. Huwa anaenda baada ya siku kadhaa nyingi kupita...
Mfano, msiba wa watoto wa shule kule Arusha mwaka jana, hakwenda kabisa...
Janga la tetemeko la ardhi lililosababisha uharibifu mkubwa mikoa ya kanda ya ziwa hususani mkoa wa Kagera, hakwenda kwa wakati. Alikwenda baada ya siku kadhaa na mnaokumbuka aliishia kutoa maneno ya kashfa kwa wahanga...
Mwenendo na tabia hii ya Rais Magufuli, ilipelekea watu kuanza kuumiza kichwa na hata kuhoji, kulikoni.....? Maana haikuwa ya kawaida tofauti na watangulizi wake...
Hata hili kama mzee huyu atazikwa pasipo uwepo wake, ndiyo litachochea zaidi shauku ya watu kutaka kujua kulikoni?
Sababu haiwezi kuwa ya "kuumia au kujisikia machungu ya kifo ya mzee huyu". Mimi kwa kweli nafsi yangu inakataa hili mpaka kesho...!!
Mimi naamini ipo sababu nyingine inayopanga utaratibu huu tena ikiwa na uhusiano na imani za kichawi, kiuaguzi, matambiko na ushirikina.....
Huyu mzee hata kutosafiri nje ya nchi hususani nje ya bara la Afrika na badala kuwakilishwa tu na wasaidizi wake, lina connection na hisia hizi. Iwe isiwe, tutajua tu hata wajifiche vipi...!!
labda anakagua ujenzi wa barabara maeneo hayo 🤣Sasa alienda kufanya nini mtwara afu asihudhurie kumsindikiza Mkapa
Utakuwa mchawi weweNaomba afe na yeye ili hii sikukuu iwe nzuri kwangu.
oh basi sawaNa sasa inatangazwa atakuja sio muda mrefu
Kuna picha na video jana zimemuonyesha Rais akitua Mtwara Airport. Kwa hiyo kama ni kwenda amekwenda, ila hayo yaliyotokea huko huwezi jua. Labda anajisikia vibaya mapka ameshindwa kuhudhuria.Nyie mnashangaa nini huku jana alishatimiza wajibu wake!
Hivi umesoma nilichoandika au ndio umeamua kujibu kwa hisia ni vema next time ukawa makini kusoma then ndio ujibu uwe na siku njema na maombolezo mema pia maana yawezekana kuomboleza kumechangia pia.Acha uongo, jiwe kalala mtwara, ametoka leo saa 10:15