minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,510
- 22,529
Wapigie hawa ndiyo madalali wa waganga wa kienyeji wa Bashite na kikundi chao 0715132277 seleman huyo ni msiri wa Bashite anajua vitu vingi vya Bashite ni mpenda pesa ukimpa pesa kidogo anasema kila kitu na pia yupo mwingine anaitwa pot 0713942322 hawa mda mwingi huhadithia story za Bashite popote wanapokuwa na ukiwapa bia pombe ndipo Siri zote huanikwa waziWatanzania ni watu wa ajabu saña hapa wataanza ramli zisizo na msingi