Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

kwa mujibu wa ratiba ilitakiwa by now mazishi yawe tayari yashakamilika na probably watu washarejea Dar tayari.
Kabisa lkn mpaka sasa kimya hakuna anayesema lolote.

Ni masaa mawili yamepita tangu mc aseme rais ataingia muda wowote
 
Huwaga nkisikia kusini nawazaga ule moshi mweupe ulotokeza ghafla ka wingu na kutokomeaaa, wakat wa msafara wa rais.
 
1596018508450.png
 
Back
Top Bottom