Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,048
- 60,245
Leo lazima azikwe.Wanaweza kuwaacha waage hata siku mbili, kule ndio kwao.
Labda wale wana maumivu zaidi hivyo wanapewa muda wa kutosha.
Leo lazima azikwe.Wanaweza kuwaacha waage hata siku mbili, kule ndio kwao.
Labda wale wana maumivu zaidi hivyo wanapewa muda wa kutosha.
Hope ni tatizo la kiafya, nawaomba viongozi wa siasa hasa verified user kwenye mitandao ya kijamii, wasijiingize kwenye hii taharuki bila taarifa za kutosha, ije kuwa yale yale ya ile tetesi ya wakati ule huko huko kusini.
Kama lazima, badi atazikwa tu tusihofu.Leo lazima azikwe.
Hahaha.. Wewe ni fungu la kukosaPamoja na yote leo asubuhi muheshimiwa alikuwepo kigoma full stop
Ametegua mitego woteWapiga ramli wameumbuka. Magu ndani ya lupaso
Kuaga ilikuwa ni gear ya kubuy time. Magufuli afike,baada ya makufuli kufika umati wa kuaga umepotea ghafla.Wanaweza kuwaacha waage hata siku mbili, kule ndio kwao.
Labda wale wana maumivu zaidi hivyo wanapewa muda wa kutosha.
Tangu jana live tunaona kiongozi wa ulinzi(kiongozi wa mabodigadi) wa Rais ktk picha ananongona sana kuanzia walipokuwa airport Mtwara jana na hata hapa leo Lupaso Masasi.
Nilikuwa mtwara mjini lazima kazunguka mnazi mmoja ila kama njia newala ingekuwa nzuri wangewahi fastaAmezungukia mnazi mmoja ? Watu wamemshauri vibaya hapo pana ka distance... Tokea mtwara hadi Lupaso angetumia helicopta saa hizi wanaorudi Dar kwa ma V8 wangekua Nangurukuru
Tangu jana live tunaona kiongozi wa ulinzi(kiongozi wa mabodigadi) wa Rais ktk picha ananongona sana kuanzia walipokuwa airport Mtwara jana na hata hapa leo Lupaso Masasi.
Nyie mnashangaa nini huku jana alishatimiza wajibu wake!
Mkuu funguka basi....kigoma kafuata nini?Pamoja na yote leo asubuhi muheshimiwa alikuwepo kigoma full stop
Tangu jana live tunaona kiongozi wa ulinzi(kiongozi wa mabodigadi) wa Rais ktk picha ananongona sana kuanzia walipokuwa airport Mtwara jana na hata hapa leo Lupaso Masasi.
Tetesi za URONGO. Rais ametoka Mtwara saa 5 asubuhiKuna tetesi zishaanza kutembea Twitter huko.
Let's meet at the top, cheers [emoji1635]
Mkuu upo serious?Pamoja na yote leo asubuhi muheshimiwa alikuwepo kigoma full stop
Ametegua mitego wote
Sawa tu, mleta uzi alimtaka Magufuli awepo, na hilo limetimia.Kuaga ilikuwa ni gear ya kubuy time. Magufuli afike,baada ya makufuli kufika umati wa kuaga umepotea ghafla.
Hahaha wazushi tu anaangukia wapi kakaa kwenye gari?!huko Twitter wanadai kuna mtu alianguka on the way to Lupaso.
watu sijui wanapataje taarifa za ndani hivyo?