Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

Kwa ninavyoona hapa Rais Magufuli hayupo sawa na hii imekuwa inajirudia rudia hasa mara ya mwisho alipotoka pia Ruangwa kimya kimya tena kwa helicopter ya jeshi!

Huwa anajikaza kisabuni lakini lipo jambo hasa leo! Haiwezekani achelewe hivyo. Nasema haiwezekani na si kawaida kwa shughuli kama ya leo na jinsi alivyokuwa nayo siku mbili zilizopita.
 
Kuna taharuki fulani inayoashiria kuna jambo. Podium ilipoletwa alitakiwa aongee yeye, ikabidi aitwe Shein, Shein alipomaliza muongoza shughuli alitangaza kuwa Rais anatakiwa aongee, walinzi wakampa ishara aache kwanza lakini Mzee akasimama akawaita wastaafu Kikwete na Mwinyi.

Kikwete akazungumza japo kwa utani ila alimaanisha “Mheshimiwa Rais tuwe tunapeana taarifa kabla.”
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu lazima atang’amua jambo.
Yap. Upo sawa. Shein hakuwepo kwenye ratiba. Kuna kitu Magufuli hayupo sawa,hata kuja imebidi aje tu kwa vile yeye ndo Rais na asingetokea watu wangesema sana.
 
Inaonekana leo hatasimama kuongea kwa muda mrefu. Maana ilikuwa aongee naona kasimama kampa Kikwete aongee then atafuatia Mwinyi. Naona yeye atamalizia kidogo tu mwishoni.

29 Julai 2020
Lupaso, Masasi
Tanzania



Source : ikulu Tanzania
 
Kwa ninavyoona hapa Rais Magufuli hayupo sawa na hii imekuwa inajirudia rudia hasa mara ya mwisho alipotoka pia Ruangwa kimya kimya tena kwa helicopter ya jeshi!

Huwa anajikaza kisabuni lakini lipo jambo hasa leo! Haiwezekani achelewe hivyo. Nasema haiwezekani na si kawaida kwa shughuli kama ya leo na jinsi alivyokuwa nayo siku mbili zilizopita.

Bawacha twambie basi hilo jambo sio una zunguka zunguka na uzushi....
 
Kuna taharuki fulani inayoashiria kuna jambo. Podium ilipoletwa alitakiwa aongee yeye, ikabidi aitwe Shein, Shein alipomaliza muongoza shughuli alitangaza kuwa Rais anatakiwa aongee, walinzi wakampa ishara aache kwanza lakini Mzee akasimama akawaita wastaafu Kikwete na Mwinyi.

Kikwete akazungumza japo kwa utani ila alimaanisha “Mheshimiwa Rais tuwe tunapeana taarifa kabla....”
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu lazima atang’amua jambo...

Twambie basi hilo jambo kamanda hahahaha[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Huyo mwinyi wamtoe tu cjui anaongea nn.......

Asije akaanza kusema tena dikteta aongezewe muda huku akilenga mwanaye km analazikisha kua rais wa zanzibar
Umemuona eeeh alianza kuchomekea ya kumuongezea muda Magufuli.
 
Hahahaha Bawacha sasa sijui watasema nini maana Rais anaongea sasa ....sijui watajadili nini hahahahah
 
29 Julai 2020

MAGUFULI - "MKAPA ALIKATAA KUZIKWA DODOMA, HATA MIMI NITAZIKWA CHATO"

Mwili wa hayati Benjamin William Mkapa, unazikwa leo Julai 29, kijijini kwao Lupaso, wilayani Masasi, mkoani Mtwara..



Source : ikulu Tanzania
 
Hahahaha Bawacha sasa sijui watasema nini maana Rais anaongea sasa ....sijui watajadili nini hahahahah
Kwa taarifa yako wasiompenda jiwe ni wanaccm baada ya jamaa kukifanya chama mali yake binafsi hakuna wa kuhoji chochote.

Juzi Lissu kasema hata kinana na makamba hawako salama na hutakuja kusikia wakikanusha hii kauli ya Lissu maana ndo ukweli wenyewe....

Acheni kusingizia watu wengine.
 
Back
Top Bottom