Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

Kwa ninavyoona hapa Rais Magufuli hayupo sawa na hii imekuwa inajirudia rudia hasa mara ya mwisho alipotoka pia Ruangwa kimya kimya tena kwa helicopter ya jeshi!

Huwa anajikaza kisabuni lakini lipo jambo hasa leo! Haiwezekani achelewe hivyo. Nasema haiwezekani na si kawaida kwa shughuli kama ya leo na jinsi alivyokuwa nayo siku mbili zilizopita.

Nyie mbwa mabingwa sana wakihamisha magoli!! Mtukufu rais yupo imara na mtaumbuka sana kwa uzushi wenu wa kipumbavu
 
Mungu ni mwema Rais mzima wa afya na ameshafika msibani. Wale manabii na watabiri mabaya sijui hali zao zikoje huko waliko
 
.
20200729_145050.jpg
 
Nilichojifunza kifo cha mkapa ni kwamba hata ukiwa mbabe duniani, mbinguni wote sawa, pamba zitahusika kwenye matobo yote ya mwilini
 
Badilisheni heading basi! Hata hatuwezi kusema amechelewa, maana hatujui alipanga kuwepo saa ngapi.

RIP Mzee Mkapa.
 
Badilisheni heading basi! Hata hatuwezi kusema amechelewa, maana hatujui alipanga kuwepo saa ngapi.

RIP Mzee Mkapa.
Hahahaha, JF now nowadays inapoteza sifa, Umati wote uliopo lupaso ,wamekosa info kwann rais kachelewa msibani

Watu wanatoa lawama wkt walikua hawajui muhusika yuko wapi ,hahahaha
 
Badilisheni heading basi! Hata hatuwezi kusema amechelewa, maana hatujui alipanga kuwepo saa ngapi.

RIP Mzee Mkapa.
Mzee baba mbona aliingia Mtwara jana usiku?

Nadhani kiusalama haikuwa powa kwa serikali yote kukaa pale tangu asubuhi exposed. Tusisahau walipo sio mbali na mpaka wa Msumbiji na huko kunamachokoraa wanaojifanya ni ma-alshabab wa kusini wanakinukisha na serikali ya Msumbiji. Ni mawazo yangu tu.

Nadhani muda alioingia ndo muda aliokuwa aingie, ila sie sio lazima tujuzwe kila kitu.
 
Nyie mbwa mabingwa sana wakihamisha magoli!! Mtukufu rais yupo imara na mtaumbuka sana kwa uzushi wenu wa kipumbavu
Dalili zote anaonyesha kuwa ni dhaifu kimwili. Halafu akina NKAMIA na Ally Kessy wanaropoka eti katiba ibadilishwe aongezewe muda.!! Huyu spana mikononi ndiyo aongezewe muda?
 
Mama yetu mpendwa, mke wa Rais John pombe magufuli hajaonekana katika mazishi ya Marehem benjamin mkapa. Nini tatizo? Hata kwenye kumuaga hajaonekana.

Marais wengine mbona wapo sambamba na wake zao?
 
1325hrs: Rais Magufuli afika Lupaso na kwenda kanisani ambapo watu wanaendelea kuaga. Amefika na kukaa. Ratiba ya Mazishi inaendelea
Siku ingine uache kiherehere
Ulitaka Rais wa JMT akae masaa matango kanisani wakati ana kazi nyingi za kufanya ikulu ndogo
 
Back
Top Bottom