Basi yapo sana huko hayo. Niliishi maeneo ya ujenzi jirani na yule jamaa alikuwa na mabasi ya country.Kwetu Newala ingawa sijawahi kuishi hulo, ndo nasikia hapa haya mambo
Daaah! Nimefuatilia mpaka mwisho!
Ila, ingependeza zaidi kama hii simulizi, ingeunganishwa. Yaani, ingekuwa kama ina "UP- DETIWA" hivi…… ili uhondo uwe ulionyoooka kwenye para zilizofuatana!
Shukraaan kwa simulizi iliyosisimua!
Mkuu vp mpakani now wanaluhusiwa kupita, maana nilikua na jamaangu tulikua na latiba ya kuzamia huko machimboni,naomba unipe muongoze maana nasikia Islamic state wanaua raia ovyo
Mkuu bora umeirudisha mana ingefichua siri nyingi sana [emoji14][emoji14][emoji14]Kilicho nisukuma kuirudisha, ni kwanza mama yangu mzazi alikua hataki nitembee na kitu hicho (kumbuka usipo msikiliza mama yako, hiyo ni laana)
Pili ni mauza uza ya ile dawa.
Usiku, ikitaka kufanya kazi inaanza kumwekua mwekua, mpaka kero.
Nakitendo cha kuitupa (Mala mbili) na kila nikiitupa ina rudi tena, hapo ndipo ilipo kua inani kata mate.
Kiufupi hata wewe, ungeiogopa.
Kwahiyo jamaa tumesoma shule moja yaan Yombo Dovya au Jitihada, haya malizia story hiyo
Kila la kheri mkuu... Nakuombea ukamekuwemekuwe ulete mambo hapaWakuu kesho naenda kukata veni, naomba muniombee nikutane na madini kama yote.
Naahidi niki kutana nayo, wote mtalewa humu (kama wanywaji)
Mgao kuanzia $10,000 US dollars, lazima nije nitumie Tanzania, labda kama watakomaa kufungua mipaka. Mungu atupe uzima na atuamshe salama.
Wakikuvizia mchana wakupige mapanga au bastole je?Mimi nisingerudisha hiyo dawa mpaka niombwe na raia tena kwa magoti.Wachawi walaaniwe.
Siye huyo. Jamaa ukoo wao mkubwa sana. Hata simjui.Alikuwa dr wa mifugo dsm
Mchawi na bastola wapi na wapi?Wakikuvizia mchana wakupige mapanga au bastole je?
kuna jamaa insta ana jiita Marleydollars nae ni mchimbaji wa hizo Rubby ni kwamba zina lipa sana kama anavo onesha utajiri wake ama yey n mmiliki kabisa wa machimbo?Kwa asie ijua Ruby, hii ndio Ruby.
Ukikutana na uzito huo, lazima ulale na kina Wema sepetu.
Zuchu mwenyewe hachomoki hapo. View attachment 1571029
kuna jamaa insta ana jiita Marleydollars nae ni mchimbaji wa hizo Rubby ni kwamba zina lipa sana kama anavo onesha utajiri wake ama yey n mmiliki kabisa wa machimbo?
Mmmh we jamaa itakua tumemaliza mwaka mmoja, mwl waziri namjua maana alihama kwenda Buza, kwake jirani na msikiti mweupe paleMpaka kipindi wanazigawa hizi shule mimi ningali niko hapo.
Nakumbuka tuligawanywa, wengine walienda kuanzisha Jitihada primary school, wengine tulibakia Yombo dovya.
Unamkumbuka mwalimu Waziri?
Japo alikua mkali sana, ila kwangu alikua ana koma.
Mkuu kwenda mozambique hakuna visa inahitajika?je huyo mzee anatibu magonjwa yote ya kiuchawi?Panda gari ya Newala, ukishuka newala stand utachukua boda boda ziendazo Nkunya.
Boda boda itakuchukua mpaka mpakani, utagonga paspoti upande wa Tanzania, hivyo safari ya boda boda Itaendelea mpaka Ruvuma.
Ruvuma utapanda mtumbwi utakao kuvusha mpaka ng'ambo ya mto.
Ng'ambo ya mto utaikuta magresheni ya Mocambique, hapo napo utagonga paspoti yako.
Hapo Magresheni ya Mocambique utakutana na gari za mpakani, itakayo kupeleka mpaka Mueda (wilaya ya kwanza, ya mkoa wa Cabo del Gado ukitokea newala)
Mweda ukimuuliza mtu yeyote kua unakwenda Shapa kwa mzee LUPATU, hata mtoto mdogo atakupeleka.
Mimi ndo intake ya kwanza shule inagawanywa 2002,Mitaa ya kwa mzee Mamba.
Ila mimi, Mwalimu Waziri nilimuacha.
Hata aisee wachawi wananisumbua sana na kunirudisha nyuma mambo yangu.Mimi nisingerudisha hiyo dawa mpaka niombwe na raia tena kwa magoti.Wachawi walaaniwe.