Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Mkuu kwa sasa usije, mipaka haijafunguliwa (sababu ya Corona)

Na kwa kupitia mkoa Mtwara (boda yoyote ile) hao jamaa ulio wasema wanazingua kinoma.

Hasa Mocimbua ndio hapanogi kabisaaa.

Usije utaishia njiani.
Mkuu vp mpakani now wanaluhusiwa kupita, maana nilikua na jamaangu tulikua na latiba ya kuzamia huko machimboni,naomba unipe muongoze maana nasikia Islamic state wanaua raia ovyo
 
Kilicho nisukuma kuirudisha, ni kwanza mama yangu mzazi alikua hataki nitembee na kitu hicho (kumbuka usipo msikiliza mama yako, hiyo ni laana)

Pili ni mauza uza ya ile dawa.
Usiku, ikitaka kufanya kazi inaanza kumwekua mwekua, mpaka kero.

Nakitendo cha kuitupa (Mala mbili) na kila nikiitupa ina rudi tena, hapo ndipo ilipo kua inani kata mate.

Kiufupi hata wewe, ungeiogopa.
Mkuu bora umeirudisha mana ingefichua siri nyingi sana [emoji14][emoji14][emoji14]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mpaka kipindi wanazigawa hizi shule mimi ningali niko hapo.

Nakumbuka tuligawanywa, wengine walienda kuanzisha Jitihada primary school, wengine tulibakia Yombo dovya.

Unamkumbuka mwalimu Waziri?
Japo alikua mkali sana, ila kwangu alikua ana koma.
Kwahiyo jamaa tumesoma shule moja yaan Yombo Dovya au Jitihada, haya malizia story hiyo
 
Wakuu kesho naenda kukata veni, naomba muniombee nikutane na madini kama yote.

Naahidi niki kutana nayo, wote mtalewa humu (kama wanywaji)

Mgao kuanzia $10,000 US dollars, lazima nije nitumie Tanzania, labda kama watakomaa kufungua mipaka. Mungu atupe uzima na atuamshe salama.
Kila la kheri mkuu... Nakuombea ukamekuwemekuwe ulete mambo hapa
 
Kwa asie ijua Ruby, hii ndio Ruby.
Ukikutana na uzito huo, lazima ulale na kina Wema sepetu.
Zuchu mwenyewe hachomoki hapo. View attachment 1571029
kuna jamaa insta ana jiita Marleydollars nae ni mchimbaji wa hizo Rubby ni kwamba zina lipa sana kama anavo onesha utajiri wake ama yey n mmiliki kabisa wa machimbo?
 
Huyo ni broca (dalali) wa madini.
Nilikua nae Nanyupu miaka ya 2013 mpaka 2017 tulipo fukuzwa.

Muulize unaijua Nanyupu, Namanybiri ama Namuchu?
Lazima acheke, maana utakua ume mkumbusha mbali sana.

Nakumbuka huyo jamaa alikua anafanya kazi ofisi moja na rafiki yake Koba.
kuna jamaa insta ana jiita Marleydollars nae ni mchimbaji wa hizo Rubby ni kwamba zina lipa sana kama anavo onesha utajiri wake ama yey n mmiliki kabisa wa machimbo?
 
Mpaka kipindi wanazigawa hizi shule mimi ningali niko hapo.

Nakumbuka tuligawanywa, wengine walienda kuanzisha Jitihada primary school, wengine tulibakia Yombo dovya.

Unamkumbuka mwalimu Waziri?
Japo alikua mkali sana, ila kwangu alikua ana koma.
Mmmh we jamaa itakua tumemaliza mwaka mmoja, mwl waziri namjua maana alihama kwenda Buza, kwake jirani na msikiti mweupe pale
 
Panda gari ya Newala, ukishuka newala stand utachukua boda boda ziendazo Nkunya.
Boda boda itakuchukua mpaka mpakani, utagonga paspoti upande wa Tanzania, hivyo safari ya boda boda Itaendelea mpaka Ruvuma.

Ruvuma utapanda mtumbwi utakao kuvusha mpaka ng'ambo ya mto.

Ng'ambo ya mto utaikuta magresheni ya Mocambique, hapo napo utagonga paspoti yako.

Hapo Magresheni ya Mocambique utakutana na gari za mpakani, itakayo kupeleka mpaka Mueda (wilaya ya kwanza, ya mkoa wa Cabo del Gado ukitokea newala)

Mweda ukimuuliza mtu yeyote kua unakwenda Shapa kwa mzee LUPATU, hata mtoto mdogo atakupeleka.
Mkuu kwenda mozambique hakuna visa inahitajika?je huyo mzee anatibu magonjwa yote ya kiuchawi?
 
Back
Top Bottom