Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Weka namba ya mzee nikachukue kibao ambacho najua kitanisaidia mambo matatu, kwanza kujilinda na uchawi, pili kuwakomesha washenzi wanaoniroga na tatu kitanipa umaarufu maana nikifika eneo la tukio najinadi kabisa kuwa hapa patakufa wachawi watakao nichezea na kwamba mimi sina hatia wakifa maana nawakanya hapa na nyote mnasikia.
Usiku chombo kikianza kumwekua mwekua nalipuliza tartiiiiibu huku nikitabasamu, chupa ya bia ikivunjika natoa sauti kubwa "MAAMAEEEE" [emoji16][emoji16]
 
Kuwaka waka
Kunawale wadudu usiku wanakuwa nataa kwenye matako yao ile taa yao inavyowaka Nimtindo wakumekuwa mekuwa
Hahahaha! Asante sana mkuu..
Kuwaka waka
Kunawale wadudu usiku wanakuwa nataa kwenye matako yao ile taa yao inavyowaka Nimtindo wakumekuwa mekuwa
Asante sana mkuu, bila shaka huyo atakuwa kimulimuli.
 
Bora ukaushee kimya Kama vile ujui ayo Mambo ya kusema wanaweza wakajipanga wakakupiga panga
 
Mkuu Mpaka kufika uko inagharim shilingi ngapi?
 
Kwa Mdengereko wewe tajiri
 
Mkuu mi nitakwenda, gharama zake zikoje na kama inawezekana naomba niPM namba zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…