Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Huwezi fanya harakati kama sio kigagula
 
Sawa mkuu ila swala la matapeli na wezi nimejikuta nachekaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hakuna kitu kinaumiza kama kuhangaika kujinyima ili ujikomboe kiuchumi afu linakuja jitu lenye akil timamu linachukua asset zako kwa kuiba ama jingine unaliweka kusimamia biashara sasa lenyewe linachukulia kama advantage linakuingiza king linakimbia na mtaji
Majitu kama haya hayafadhiriki hata kidogo.
 
Wenye flat TV na mmefunga ukutani mjitahidi kwenye ile bracket kuna njia unaweza fanya mwenyewe ukishindwa fundi mzuri anaweka matundu ya kufunga kufuri.

Njia hiyo ni nzuri sababu badala ya mwizi kifika na KUCHUKUA tv yako itamfanya atumie nguvu na muda kuvunja, mwishoe atashindwa au itavunjika pengine kuharibika.
 
Speaking of kukimbia na mtaji daaah kuna mtu kajua kuniweza mwaka huu zaidi ya million 4 amekula kimasikhara ,yan nimepungua kutoka kilo 75 hadi 55 within a month ,kila nikiwaza cha kumfanya nakosa nguvu[emoji24][emoji24]
 
Kuna sehemu ningekupeleka ila toka uibiwe zishapita siku tatu......zikipita hapo hawezi fanya chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…