Dah wakuu usiku wa kumkia leo nimeibiwa TV Samsung flat 49 inches. Jamaa wameruka fence wakatoa lock ya kioo cha dirisha wakavunja nondo wakazama ndani wakafungua TV ukutani. Hii ni mara ya pili wananiibia TV, mara ya kwanza ilikua mwaka 2018 kwa style hiyo hiyo. Huyu babu hawezi kuwa na namna ya kudhibiti wezi ikiwa ni pamoja na kuwakamata hawa wa jana? Au kama kuna yoyote mwenye uwezo wa kuwakamata wafundishwe adabu maana wamenichosha na wanarudisha nyuma sana.
Nimeweka picha ya nondo walizokata kisha wakaziacha hapo chini.
View attachment 1575000