Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Mkuu mchawi humjui, wenda hata Bimkubwa akawa mchawi ila usimjue.

Nimempoteza mama yangu mkubwa kizembe tu, naamini yeye hakuwa na nia ya kuniroga ila ile kinga ni marufuku kwa mtu kuchezea uchawi nilipo kuwepo mimi.

Kwahiyo wenda mama mkubwa alikua na harakati zake, sema dawa ikamvuta kama sumaku.
Huwezi fanya harakati kama sio kigagula
 
Sawa mkuu ila swala la matapeli na wezi nimejikuta nachekaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hakuna kitu kinaumiza kama kuhangaika kujinyima ili ujikomboe kiuchumi afu linakuja jitu lenye akil timamu linachukua asset zako kwa kuiba ama jingine unaliweka kusimamia biashara sasa lenyewe linachukulia kama advantage linakuingiza king linakimbia na mtaji
Majitu kama haya hayafadhiriki hata kidogo.
 
Wenye flat TV na mmefunga ukutani mjitahidi kwenye ile bracket kuna njia unaweza fanya mwenyewe ukishindwa fundi mzuri anaweka matundu ya kufunga kufuri.

Njia hiyo ni nzuri sababu badala ya mwizi kifika na KUCHUKUA tv yako itamfanya atumie nguvu na muda kuvunja, mwishoe atashindwa au itavunjika pengine kuharibika.
 
Mkuu hakuna kitu kinaumiza kama kuhangaika kujinyima ili ujikomboe kiuchumi afu linakuja jitu lenye akil timamu linachukua asset zako kwa kuiba ama jingine unaliweka kusimamia biashara sasa lenyewe linachukulia kama advantage linakuingiza king linakimbia na mtaji
Majitu kama haya hayafadhiriki hata kidogo.
Speaking of kukimbia na mtaji daaah kuna mtu kajua kuniweza mwaka huu zaidi ya million 4 amekula kimasikhara ,yan nimepungua kutoka kilo 75 hadi 55 within a month ,kila nikiwaza cha kumfanya nakosa nguvu[emoji24][emoji24]
 
Dah wakuu usiku wa kumkia leo nimeibiwa TV Samsung flat 49 inches. Jamaa wameruka fence wakatoa lock ya kioo cha dirisha wakavunja nondo wakazama ndani wakafungua TV ukutani. Hii ni mara ya pili wananiibia TV, mara ya kwanza ilikua mwaka 2018 kwa style hiyo hiyo. Huyu babu hawezi kuwa na namna ya kudhibiti wezi ikiwa ni pamoja na kuwakamata hawa wa jana? Au kama kuna yoyote mwenye uwezo wa kuwakamata wafundishwe adabu maana wamenichosha na wanarudisha nyuma sana.

Nimeweka picha ya nondo walizokata kisha wakaziacha hapo chini. View attachment 1575000
Kuna sehemu ningekupeleka ila toka uibiwe zishapita siku tatu......zikipita hapo hawezi fanya chochote
 
Back
Top Bottom