Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Mkuu hii sio story ya kutunga kama Eric shigongo.
Baada ya kusoma post ya mshikaji, nikaamasika kuandika kisa kilicho nikuta maishani mwangu (kutokana na mashwala ya nguvu za kiza) mara kipindi naandika katokea mshikaji kaanza kuni bughudhi (kaja na dali za kitaa) nika shindwa kumalizia.
Ok, sio kesi mkuu.. Nadhan had muda huu unajibu comments zetu bac hakikisha unau-update uzi mkasa wako ukamilike.
 
Back
Top Bottom