Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Mkuu labda walienda kuziwekea mbolea si unaona now hata joti wa tangazo la tigo umempita kwa huo wingi wa nywele[emoji1]
 
Nikiona mtu anazungumzia uchawi najua kabisa hana akili. Uchawi ndio nini?


Kama huamini katika kitabu chochote Kitakatifu matharani Koran na Biblia hapo nitakuelewa!

Yani mfano kama wewe siyo Mkristo , Bidhist, au Islam nitakuelewa , lakini kama umo kwenye mojawapo ya hiyo mifano michache ya hizo Dini/Imani basi nitakushangaa kwa hayo uloandika!

Sababu hivyo vitabu vitakatifu vimeweka wazi kabisa kuhusu uwepo wa Imani za kichawi na Ushirikina.

Kama uko ktk mojawapo ya hizo dini/Imani Basi nakushauri nenda kasome na kujifunza zaidi upate kufahamu juu ya habari hizo na nyinginezo!
 
MTU anaweza akabisha kitu cha ukweli hata akijua kuwa ni ukweli yaani sijui tu.
Kwani huwezi ukapinga kuwa pesa sio muhimu na baadaye ukatoa data za kukubali kuwa kwa nini pesa ni muhimu ndugu ama
 
Hawana lolote hao wanaosema hawajui uchawi
Maana hadi vitabu vya dini vimeandikwa
Ukimsoma Musa kwenye bible utakutana na hbr za uchawi
 
Budhist hawana mafundisho hayo wala, labda useme huo ukristo na uislamu ndio wenye hizo mambo
 

Mkuu nahitaji nifike kwa babu aisee. Naomba muongozo
 
Wewe kila kilichoandikwa kwenye biblia ama quran unakichukulia kama kilivyo?

Kama ndio hivyo, unaweza kulala na watoto wako wa kike ukawatafuna kama rutu na kuwazalisha, kama hapana kwa nini wakati biblia imesema hivyo? Ama wewe ni muislamu unaweza kumpa mkeo baba yako amuonje kwanza kama quran inavyosema ama wewe ukajitoa kwa baba mkwe wako akuonje kwanza kama quran inavyosema iwapo wewe ni wa kike.
 
Hio dawa ukiingia nayo pale bungeni sijui nani atapona.
Kila dakika utakua unaona mwanga mwekundu mara paaah chupa ya bia imevunjika then wimbo wa Taifa Tbc.
Nadhani kuna kitu hatukielewi kuhusu uchawi. Nadhani hiki kibao kinadeal na wale wanaonda kuwaumiza wenzao
 


Kuhusu Rutu hilo lilikuwa agizo lake mahususi kwa namna maalum na kwa mazingira maalum sababu hakukuwa na watu baki kwenye jamii wa kuendeleza kizazi maana mke wa Rutu alishageuka kuwa jiwe la chumvi.

Mwanaume alikuwa ni Rutu na binti zake tu , Je kizazi kingeongezekaje kwa watu kuzaliana ambao Ndiyo mojawapo ya makusudi ya Mungu kwamba nendeni mkazaane mkaongezeke muijanze nchi?!

Makusudi ya Mungu siku zote ni mema sana kwa faida yetu tumchao.

Tunapoagizwa kumcha Mwenyezi Mungu siyo kwa faida yake yeye maana imeandikwa tusipomsifu atainua hata mawe yamsifu.

Kumcha Mungu ni kwa faida yetu wenyewe na vizazi vyetu na kinyume chake ni hasara pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…