kirikou1
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 4,815
- 6,517
Mkuu labda walienda kuziwekea mbolea si unaona now hata joti wa tangazo la tigo umempita kwa huo wingi wa nywele[emoji1]H
Habari ndo hiyo mzee,
Miezi mitatu iliyopita sehemu niliyokuwa nilikuwa nasikia sana kuna uchawi uchawi lakini nilikuwa siamini, kuna siku nililala kuamka asubuhi nakuta nywele zangu kichwani zimenyolewa na usiku kabla ya kulala zilikuwa ziko vizuri,
Upo hapo