Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi yapo sana huko hayo. Niliishi maeneo ya ujenzi jirani na yule jamaa alikuwa na mabasi ya country.
Huenda hata hao wadudu hawajui
Tumrahishie kama viatu vya watoto wadogo vile vinawakaga taa
Hahahah hiko kibao nipe niende nacho kimanga mwanangu, kule ukilala ukiamka lazma ukute mikwaruzo mwilini tu. Yani wachawi wamezidi mkuu🤣🤣🤣!Mama alikitazama kile kibao muda kama dakika 5 hivi, mpaka nikajistukia na kumuuliza mama, mbona anakiangalia sana?
"Mwanangu hichi kitu ni kikubwa wewe bado ni mtoto, kitupe kitakuletea madhara"
"Hiki ndicho kilicho waua dada yangu na kaka yangu"
Mama aliendelea kuongea huku machozi yakimtoka, mpaka mimi mwenyewe nikashikwa na wenge.
Aliendelea kuniambia, mpaka Kule kijijini watu wamesha jua kua ni mimi ndie nilie sababisha vifo vya Mama mkubwa na mjomba.
Hata watoto wa mjomba wamechukizwa na kitu hicho.
Basi mama akiniomba nikitupe kile kibao.
Mama hakukaa akaondoka kwake, huku nyuma akiniacha na mawazo kibao kichwani.
Kwa kweli nilikaa kama wiki mbili tu lakini nikawa tayari nisha sababisha vifo zaidi ya saba.
Maana ukiachilia kifo cha mama mkubwa pamoja na mjomba, pia hapa mtaani kuna vifo vitatu vya majirani, na vyote vina fanana.
Maana wote kabla ya kufa hutokwa na damu sehumu zote za siri, na wote wamenitaja kwamba chanzo cha kifo Chao ni mimi.
Siku moja nilitulia sehem peke yangu nikajiuliza maswali, nikaona ngoja niende kwa rafiki yangu Yombo dovya (huyu jamaa tume maliza wote yombo dovya primary school)
Nilivyo fika kwake, sikumficha, nimamweleza mkasa mzima, chakushangaza na yeye akaniambia hata hapo kwao kuna vifo vya wazee wawili viliongozana kipindi nilipo peleka begi langu kwao.
Nikarudi home, nakukata shauri kwamba lazima hiki kibao (kinga) nikitupe.
Siku moja, mtaani hapo kulikua na kigodoro, nikala mtungii nikasema leo lazima nikitupe hiki kibao.
Mala baada ya kukubali mtungi nikaongoza mpaka lelini, nikakitoa kile kibao nakukirusha kwa mbali.
Nikarudi zangu home na kujilaza kitandani na usingizi ukanipitia.
Asubuhi nilipo amka, nishaoga maji yangu nikatoa suruali nyingine nikavaa, nikaitoa ile suruali niliyo ivaa jana nakuanza kutoa vitu muhimu.
Nikazama mfuko wa kwanza nikatoa simu, mfuko mwengine nikatoa waleti, sasa nikawa nacheki mifuko ya nyuma ili nicheki kama kuna chenji chenji, katika angaika angaika zangu nakitoa tena kile kibao (ile kinga niliyo itupa jana yake kwenye kigodoro) kwanza nilipagawa nusu ya kudata.
Nakumbuka hiyo siku, nilipanga na mtu (dalali) niende nikaangalie kiwanja Mbande, lakini kutokana na tukio hilo ilinibidi nimpigie jamaa simu nakumuomba aniwie radhi kwa siku hiyo, kwani nilishindwa hata kutoka nje kwa siku hiyo.
MUENDELEE KUNI SAMEHE, MAMBO NI MENGI MUDA NI MDOGO. HATA KESHO NAWEZA NIKAMALIZIA. NITARUDI.
Kimanga hii ya tbt au ulimaanisha nyingine ExtrovertHahahah hiko kibao nipe niende nacho kimanga mwanangu, kule ukilala ukiamka lazma ukute mikwaruzo mwilini tu. Yani wachawi wamezidi mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Niazime nikadondoshe wanga wa mtaa mzima. Inafikia stage hata kwenda home kusalimia naona kero maana nikilala tu naamka na mikwaruzo
bi Dada ukiombwa po ukirudisha utaona cha mtema kuni watalipa kisasi kwako ndio tabia ya wachawi kwa uyu bana japo wanakufa lakin wangeendelea kumsaka kwa ubishi wachawi wapo njemaMimi nisingerudisha hiyo dawa mpaka niombwe na raia tena kwa magoti.Wachawi walaaniwe.
Kumbe wachawi nao wana kiboko yao[emoji3][emoji3][emoji3]Sasa hiyo unayo tembea nayo na mchawi hatambi nyumba kumi, ndio hiyo LUPATU.
Dada, hiyo hata mchawi apite zake tu (akiwa na uchawi mfukoni) lazima imvute.
[emoji3][emoji3][emoji3]Neno jipya nililoshika hapa Ni KUMWEKUA MWEKUA........
Sio mchezo
[emoji3][emoji3]Kuwaka waka
Kunawale wadudu usiku wanakuwa nataa kwenye matako yao ile taa yao inavyowaka Nimtindo wakumekuwa mekuwa
Mwenyewe nashangaa jamaa mpaka leo hawajamuua.....bi Dada ukiombwa po ukirudisha utaona cha mtema kuni watalipa kisasi kwako ndio tabia ya wachawi kwa uyu bana japo wanakufa lakin wangeendelea kumsaka kwa ubishi wachawi wapo njema
Tupe kastori kakichawiMwenyewe nashangaa jamaa mpaka leo hawajamuua.....
Wachawi hata uwaue mia kwa siku hawatakaa wakuogope kamwe watakaa waungane afrika nzima ili tu wakuondoe duniani kwa kigezo cha uchawi unazidiana nguvu.....litaundwa bomu hapo huchomoki