Lupela ya Ali Kiba kwenye MTVBASE kwa mara ya kwanza kesho

Hiyo ni intressant

http://s07.jamiiforums.com/mini/uyE8/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/
 
maisha bila unafiki hayaendi, hao mtv si walionyesha teaser ya lupela kipindi flani then wakaikaushia, hata hivyo kwani wasipoipiga wanapunguza nini maana hao navykenzo yao inapigwa kila siku na hakuna cha maana chochote wakati huo kiba anatusua
 
Usimdharirishe Alikiba basi, unataka kusema wimbo wake kuchezwa MTV kwake ni kitu kikubwa sana?
hajawahi kuwa na hits ya kukaa kwenye chat mtv/trace tv pia xo kwa hili kwake ni mafanikio makubwa sana.......
 
maisha bila unafiki hayaendi, hao mtv si walionyesha teaser ya lupela kipindi flani then wakaikaushia, hata hivyo kwani wasipoipiga wanapunguza nini maana hao navykenzo yao inapigwa kila siku na hakuna cha maana chochote wakati huo kiba anatusua
kwa upepo wa sasa hivi ali kiba nyimbo zake zinatakiwa kuishia star tv tuuuuuu.....................sure.
 
haina shida as long as show anapata na maconnection kibao, wakati hao nyimbo zao zinazopigwa mtv show za kuungaunga
 
Tel him... Na anawaumiza kichwa ndo maana hawaachi kumfuata... Hahahaaa King hatareeeeeeeeeee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…