Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee....!!!Sawa Zarina Hassan..
Jamaa muongo sana yule eti nyimbo haipigwi bila yy kuulizwa puuuumbav who is he by the way... Kabla yake walikuwa wanamuuliza nan??... Wazaz tuwe makini katika malezi jamani.Ametubu nn kwa Simba
#SIMBAAAJamaa muongo sana yule eti nyimbo haipigwi bila yy kuulizwa puuuumbav who is he by the way... Kabla yake walikuwa wanamuuliza nan??... Wazaz tuwe makini katika malezi jamani.
Yeess KIMBAAAAA ndo yeye no 1 else.#SIMBAAA
Maana nini...Hawa MTV washakuwa majipu maaana ......
hajawahi kuwa na hits ya kukaa kwenye chat mtv/trace tv pia xo kwa hili kwake ni mafanikio makubwa sana.......Usimdharirishe Alikiba basi, unataka kusema wimbo wake kuchezwa MTV kwake ni kitu kikubwa sana?
kwa upepo wa sasa hivi ali kiba nyimbo zake zinatakiwa kuishia star tv tuuuuuu.....................sure.maisha bila unafiki hayaendi, hao mtv si walionyesha teaser ya lupela kipindi flani then wakaikaushia, hata hivyo kwani wasipoipiga wanapunguza nini maana hao navykenzo yao inapigwa kila siku na hakuna cha maana chochote wakati huo kiba anatusua
Maana nini...
haina shida as long as show anapata na maconnection kibao, wakati hao nyimbo zao zinazopigwa mtv show za kuungaungakwa upepo wa sasa hivi ali kiba nyimbo zake zinatakiwa kuishia star tv tuuuuuu.....................sure.
Endelea kusubiri meli Ubungo...kwa upepo wa sasa hivi ali kiba nyimbo zake zinatakiwa kuishia star tv tuuuuuu.....................sure.
nimechoka kabisa duu kama alikuwa anatembea kwa miguu nimehisi aliipeleka mrisho mpoto kule mtv base.Inaonekana mpelekaji alikua anaenda kwa miguu
Wacha bwana...hajawahi kuwa na hits ya kukaa kwenye chat mtv/trace tv pia xo kwa hili kwake ni mafanikio makubwa sana.......
Inaonekana mpelekaji alikua anaenda kwa miguu
Tel him... Na anawaumiza kichwa ndo maana hawaachi kumfuata... Hahahaaa King hatareeeeeeeeeee..haina shida as long as show anapata na maconnection kibao, wakati hao nyimbo zao zinazopigwa mtv show za kuungaunga
upi taja unaoujua wewe....Wacha bwana...
Kwani me nimesemeje bro mbna umepanik hahahaaaaaa.....nipige basupi taja unaoujua wewe....