Lupita Nyong'o and Flaviana Matata

Lupita Nyong'o and Flaviana Matata

Kwa Africa naweza kusema ndo the leading aka number one celebrity anayefanya vizuri si tu kwenye filamu hadi kwenye fashion bidada ni nouma, kashafanya kazi za matangazo na makampuni kibao uko USA.

I wish FLAVIANA MATATA could do the same, sababu sioni ambacho lupita anacho ambacho Dada yetu Flaviana hana, ukizingatia wote wana muonekano sawa, wana access ya kukutana na watu maarufu duniani na wote wametokea East Africa.

hapo kwenye blue you are very wrong, Flaviana Matata ni Mtanzania (african) Lupita Nyong'o ni Mmexico. and once you are mexican, American or Canadian you can swim easily in America kwa sababu ya Free Trade Area - NAFTA

soma hapa kuhusu Lupita: Lupita Nyong'o - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Nilitaka kuweka wasifu wake kwa kifupi ila thanks to alma gemela amenisaidia. Tofauti iliyopo hapo ni simple. Lupita amefanikiwa kupata umaarufu via movie ya 12 years a slave kwa kiasi kikubwa sana ambacho kitamchukua Flaviana more than a decade kuja kumpata. Mind you kwamba tayari ana career in acting which was obtained through her studies in Yale. At least she played important role in lifting movie industry in her country KE. Her role in Shuga as explained above, she also directed one of the finest documentary movie about albino and challenges they face in KE.
So speaking about competitive edge yes she has one and a great too.
She has managed to scoop many deals in other movies. Usishangae kusikia Tyler Perry akamuita kufanya nae kazi. Kuna movie ameshacheza na Liam Neeson mzee wa TAKEN. We endelea kusubiri uone nini anafanya. One movie in Hollywood is enough to put you on a map and change everything your life has ever thought of impossible. Thanks to Steve McQueen the man behind the chair 12 years a slave.
 
Last edited by a moderator:

Impressive
 
Last edited by a moderator:
hapo kwenye blue you are very wrong, Flaviana Matata ni Mtanzania (african) Lupita Nyong'o ni Mmexico. and once you are mexican, American or Canadian you can swim easily in America kwa sababu ya Free Trade Area - NAFTA

soma hapa kuhusu Lupita: Lupita Nyong'o - Wikipedia, the free encyclopedia

mhhhh uko busy unamkosoa mwenzio we hujioni..soma hyo wikipedia kwanza,she is not mexican...
Swim easily??REALLY??btw NAFTA inaingiaje hapo?free trade area ina uhusiano gani na uigizaji?????
 
Lupita kwa sasa yuko mbali sana na she's on a league of her own. Ameshamuacha Flavian kwa mbali sana tena sana.
 
She can do that also, once I compared flavy with lupita, kuna vitu wanafanana though lupita anaweza kumzid flavy, they are both from Africa, they both have African colour n natural skin which can easily identify us internationally, they are both from East Africa, cha mwisho wote wana experience ya kufanya kazi na kuishi USA which can easily make them do something productive regarding wenzetu wako vizuri kimasoko na kibiashara dunia nzima, so anaweza if she decides to..
 
She can do that also, once I compared flavy with lupita, kuna vitu wanafanana though lupita anaweza kumzid flavy, they are both from Africa,
Mbona tayari ameshamzidi na kumuacha kwa mbali sana
 
Wasanii wakiambiwa wasome....Wanatoa mifano ya mazoea.....Lupita anaweza kujibeba zaidi ya Flavvy sababu anatumia Kipaji,Elimu Na 'color' yake hollywood...Flavvy is using her sexy appeal....
Note the difference.
 
Nasubiri tu kumuona shemej yetu kwa lupita..
 
Wasanii wakiambiwa wasome....Wanatoa mifano ya mazoea.....Lupita anaweza kujibeba zaidi ya Flavvy sababu anatumia Kipaji,Elimu Na 'color' yake hollywood...Flavvy is using her sexy appeal....
Note the difference.

Is Flavvy sexy?
 
Flavy amesomea diploma ya ufundi umeme(dip.of electronic eng.) chuo cha arusha tech. College.

Haijalishi hiyo. Time and chances happen to everyone. How one uses that's the competitive edge we acquire
 
Wasanii wakiambiwa wasome....Wanatoa mifano ya mazoea.....Lupita anaweza kujibeba zaidi ya Flavvy sababu anatumia Kipaji,Elimu Na 'color' yake hollywood...Flavvy is using her sexy appeal....
Note the difference.

asante mkuu nimeipenda hiyo bahati natumia simu ningekuwa natumia pc ningekupa LIKE!!!!
 
kwan sisi wengine hatuitaj kupata mafanikio kama lupita au flavian ndio muwakilish wa Tanzania Internationally..binafsi ata zanzibar tu cjafika sacjui na mimi nijiulize nashida gan. IPO CKU TUTASEMA AAAAAH MBONA FLAN NA YEYE NI MAMA YAKE NI MTANZANIA HAKUGOMBEA URAIS MAREKAN MWENZAKE OBAMA KAWA RAIS.
 
Back
Top Bottom