Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,528
Ukizingatia flavia ni mcute kushinda lupita mwenyewe
hiyo ni factor moja kati ya nyingi za kuangalia....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukizingatia flavia ni mcute kushinda lupita mwenyewe
Kasoma Yale bidada... very bright
hata Flavy nae anajitahidi.............
ila kila mtu ana nyota yake Lupita yuko very Bright kuna siku nilikuwa naangalia interview yake
yaani the way she talks nakuimpress ile mbaya
Mtoto wa professor utamlinganisha na mtoto wa mujini,mwacheni Flaviana azidi kuonyesha vyupi,naye ndie majaliwa yake,kuigiza filamu ni kitu kingine na kuonyesha vyupi ni kitu kingine
Mhhhhhhhhh mfianchi!!!!!
Mtoto wa professor utamlinganisha na mtoto wa mujini,mwacheni Flaviana azidi kuonyesha vyupi,naye ndie majaliwa yake,kuigiza filamu ni kitu kingine na kuonyesha vyupi ni kitu kingine
Hata mbuyu ulianza kama mchicha si ndio binamu?
Hata mbuyu ulianza kama mchicha si ndio binamu?
So una maanisha they don't exist at all? Unawakatisha tamaa wakina lyen Charles , our next lupita nyong'o