Lupita Nyong'o and Flaviana Matata

Lupita Nyong'o and Flaviana Matata

hata Flavy nae anajitahidi.............

ila kila mtu ana nyota yake Lupita yuko very Bright kuna siku nilikuwa naangalia interview yake

yaani the way she talks nakuimpress ile mbaya

Mtoto wa professor utamlinganisha na mtoto wa mujini,mwacheni Flaviana azidi kuonyesha vyupi,naye ndie majaliwa yake,kuigiza filamu ni kitu kingine na kuonyesha vyupi ni kitu kingine
 
Wasifu wa lupita huu hapa. Bahati ni sawa ila kujituma ndio sababu kuu.

lupita-nyongo.com/lupita-section/biography/
 
Flavian amesoma Arusha Technical College na ni Electrical Technician asiye na cheti kwani alipata supplimentary ambazo hakuzichomoa
 
Lupita Nyong'o hakutaka hata makuu kujiita majina ya ajabu ajabu, hakutaka makuu kupaka carolight au DODO awe kama Beyonce,
 
Flavianaa bana hata yeye atapanda tu bwana huyo wala asimtishe sanaa
 
Leo tena kapata tuzo ya black women in Hollywood duh, huyu mwanga daily yeye tuzo tu

1393565474955.jpg
 
LUGHA nayo inachangia kama kizungu chako cha St Mary's kama Wema Sepetu unategemea nini? Flaviana Uko ma US Badala ya kumingle na wanyamwezi kutwa kucha anahangaika na kina mara MwanaFA wakienda Mara Ommy Dimpoz,
 
Lupita amekulia uingereza kam sikosei so lazima awe na kiutofauti kidogo na mtu aliekulia africa e.g jinsi ya kuinteract na watu na yupo very bold
 
Back
Top Bottom