Tihahahhaaaaa. Waaah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee, ogopeni Mungu. [emoji1]
Hahaha! 😀 Umeleta umaandas wako huku? Sio sifa, wanakunukuu kwa uzero brain wako, basi. Kila comment humu ina kitufe cha kunukuu, waambie mods wakifiche kwenye kila comment yako.
Tihahahhaaaaa. Waaah
nyang'aus asanteni kwa kunijibu. mnanifanya nijihisi mtu mashuhuri kenya.Aisee, ogopeni Mungu. [emoji1]
Hehehehehe hata akiwa takoful huwezi mpata. Hajui kwamba una exist .Tatizo ni takoless, hapo hanivutii.. 🏃🏃🏃
Hehehehehe hata akiwa takoful huwezi mpata. Hajui kwamba una exist .
Shughulikia wale was tabora kwanza!
Mkuu umekula?Hehehehehe hata akiwa takoful huwezi mpata. Hajui kwamba una exist .
Shughulikia wale was tabora kwanza!
[emoji1787]You must be an adolescent boy going through life's crisis. Pole
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji1787]Wee koma!! [emoji23][emoji23]
Ni katanzaniaHuwa nakapenda sana haka kademu, Kana damu ya Kitanzania.
Anapeperushaje bendera ya kenya wakati ni mtanzania aliezaliwa mexicoMuwe na mazoea ya kubofya link, kusoma na kuelewa au kufanya karisechi kidogo tu kivyenu kwanza, kabla ya kurukia kwenye comment. Kujiongeza angalau hata kidogo tu sio hatia. Kampuni ya production ya filamu hiyo ndio inaingiza hela hizo. Ila kwa mastar wa filamu hiyo Lupita Nyong'o na Winston Duke donge lao linaendelea kuongeza uzito. Hela zao, wao binafsi, sio za nchi zao. Komalieni kwenye pumba, wivu na majungu, mwenzenu huyooo anaendelea kusonga mbele huku akizidi kupeperusha bendera ya nchi yake ya Kenya kila uchao.
You wish.. Baba yake ni Prof. Anyang' Nyongo governor of Kisumu county and from kisumu Kenya, same goes to the mother. Wewe na akili yako bongolala uliskia Kisumu/Nyanza iko Tz Tangu Siku gani? Even she visits her home in kenya. Nenda kajinyonge kama hamna talanta TzAnapeperushaje bendera ya kenya wakati ni mtanzania aliezaliwa mexico
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadanganyika ni wa kupuuzwa tu. Tangu lini Tanzania kukawa na watu weusi. Even megafuli is white!You wish.. Baba yake ni Prof. Anyang' Nyongo governor of Kisumu county and from kisumu Kenya, same goes to the mother. Wewe na akili yako bongolala uliskia Kisumu/Nyanza iko Tz Tangu Siku gani? Even she visits her home in kenya. Nenda kajinyonge kama hamna talanta Tz
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀Wadanganyika ni wa kupuuzwa tu. Tangu lini Tanzania kukawa na watu weusi. Even megafuli is white!
Wadanganyika ni wa kupuuzwa tu. Tangu lini Tanzania kukawa na watu weusi. Even megafuli is white!
Afrika tuna shida kubwa mno, sijui Watanzania akili zetu zimepelekwa wapi. Mdada kafanya vyema ktk sehemu, baada ya kumpa hongera tunaanza majungu.JF ukiwa serious sana utapata tabu. Kuhusu Lupita hongera zake, Tzd tutapata kamgao kidogo coz mama yake ni mtz amezaliwa Mwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app