Lupita Nyong'o awa gumzo tena: Filamu iliyomshirikisha yaingiza hela takriban KES 7Billion ndani ya siku tatu za kwanza

Lupita Nyong'o awa gumzo tena: Filamu iliyomshirikisha yaingiza hela takriban KES 7Billion ndani ya siku tatu za kwanza

Hahaha! 😀 Umeleta umaandas wako huku? Sio sifa, wanakunukuu kwa uzero brain wako, basi. Kila comment humu ina kitufe cha kunukuu, waambie mods wakifiche kwenye kila comment yako.
Boot inakuwasha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tihahahhaaaaa. Waaah
Aisee, ogopeni Mungu. [emoji1]
nyang'aus asanteni kwa kunijibu. mnanifanya nijihisi mtu mashuhuri kenya.
 
images
Kutoka kwenye filamu ya horror hadi kwenye thriller ya kijasusi. Lupita Nyong'o atakuwa kwenye 'Spy Thriller' mpya kutoka Hollywood kwa jina '355'. Hii filamu ambayo ina waigizaji wengine mashuhuri kama Penelope Cruz na Jessica Chastain, itakuwa inahusu majasusi ambao wote ni wa kike. https://www.refinery29.com/en-us/2018/05/197993/355-spy-movie-stars-lupita-nyongo-jessica-chastain
 
Muwe na mazoea ya kubofya link, kusoma na kuelewa au kufanya karisechi kidogo tu kivyenu kwanza, kabla ya kurukia kwenye comment. Kujiongeza angalau hata kidogo tu sio hatia. Kampuni ya production ya filamu hiyo ndio inaingiza hela hizo. Ila kwa mastar wa filamu hiyo Lupita Nyong'o na Winston Duke donge lao linaendelea kuongeza uzito. Hela zao, wao binafsi, sio za nchi zao. Komalieni kwenye pumba, wivu na majungu, mwenzenu huyooo anaendelea kusonga mbele huku akizidi kupeperusha bendera ya nchi yake ya Kenya kila uchao.
Anapeperushaje bendera ya kenya wakati ni mtanzania aliezaliwa mexico

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anapeperushaje bendera ya kenya wakati ni mtanzania aliezaliwa mexico

Sent using Jamii Forums mobile app
You wish.. Baba yake ni Prof. Anyang' Nyongo governor of Kisumu county and from kisumu Kenya, same goes to the mother. Wewe na akili yako bongolala uliskia Kisumu/Nyanza iko Tz Tangu Siku gani? Even she visits her home in kenya. Nenda kajinyonge kama hamna talanta Tz

Wadanganyika ni wa kupuuzwa tu. Tangu lini Tanzania kukawa na watu weusi. Even megafuli is white!
 
JF ukiwa serious sana utapata tabu. Kuhusu Lupita hongera zake, Tzd tutapata kamgao kidogo coz mama yake ni mtz amezaliwa Mwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Afrika tuna shida kubwa mno, sijui Watanzania akili zetu zimepelekwa wapi. Mdada kafanya vyema ktk sehemu, baada ya kumpa hongera tunaanza majungu.

Hivi EAC kuna nchi mbovu zaidi ya Tanzania? Kuna nchi ya kuigwa zaidi ya Kenya? Tunapaswa kuamka Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom