Lupita Nyong'o awa gumzo tena: Filamu iliyomshirikisha yaingiza hela takriban KES 7Billion ndani ya siku tatu za kwanza

Tatizo ni takoless, hapo hanivutii.. πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Hahaha! πŸ˜€ Umeleta umaandas wako huku? Sio sifa, wanakunukuu kwa uzero brain wako, basi. Kila comment humu ina kitufe cha kunukuu, waambie mods wakifiche kwenye kila comment yako.
Boot inakuwasha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tihahahhaaaaa. Waaah
Aisee, ogopeni Mungu. [emoji1]
nyang'aus asanteni kwa kunijibu. mnanifanya nijihisi mtu mashuhuri kenya.
 
Anapeperushaje bendera ya kenya wakati ni mtanzania aliezaliwa mexico

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anapeperushaje bendera ya kenya wakati ni mtanzania aliezaliwa mexico

Sent using Jamii Forums mobile app
You wish.. Baba yake ni Prof. Anyang' Nyongo governor of Kisumu county and from kisumu Kenya, same goes to the mother. Wewe na akili yako bongolala uliskia Kisumu/Nyanza iko Tz Tangu Siku gani? Even she visits her home in kenya. Nenda kajinyonge kama hamna talanta Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadanganyika ni wa kupuuzwa tu. Tangu lini Tanzania kukawa na watu weusi. Even megafuli is white!
 
JF ukiwa serious sana utapata tabu. Kuhusu Lupita hongera zake, Tzd tutapata kamgao kidogo coz mama yake ni mtz amezaliwa Mwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Afrika tuna shida kubwa mno, sijui Watanzania akili zetu zimepelekwa wapi. Mdada kafanya vyema ktk sehemu, baada ya kumpa hongera tunaanza majungu.

Hivi EAC kuna nchi mbovu zaidi ya Tanzania? Kuna nchi ya kuigwa zaidi ya Kenya? Tunapaswa kuamka Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…