Hongera Mtanzania Lupita umeleta sifa kwa Taifa letu Tanzania.
Congrats Lupita you've brought honor to your mama land Tanzania...keep going
Sent using Jamii Forums mobile app
Anapeperushaje bendera ya kenya wakati ni mtanzania aliezaliwa mexico
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu cha kushangaza zaidi, hata watanzania wenyewe kwa wenyewe huwa mnaekana chini mkiona mmoja wenu anajitahidi au amefanikiwa. Wala sikutegemea cha ziada ila wivu na majungu tu dhidi ya mafanikio ya huyu mkenya mwenzetu Lupita Nyong'o.Afrika tuna shida kubwa mno, sijui Watanzania akili zetu zimepelekwa wapi. Mdada kafanya vyema ktk sehemu, baada ya kumpa hongera tunaanza majungu.
Hivi EAC kuna nchi mbovu zaidi ya Tanzania? Kuna nchi ya kuigwa zaidi ya Kenya? Tunapaswa kuamka Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa hatuna shida nao tuko na tatizo na ninyi kwa kudai kwamba Lupita ni wenu wakati kazaliwa Mwanza...eti mko serious kabisa ni mtoto wa gavana, nyi nyang'au mna dharau sana. Lupita is typical Tanzanian...labda hawa ndio wa huko kwenu.N'yadikwa, kuna huyu mkenya mwingine kule Hollywood, Mary Oyaya aliyeigiza kwenye Star Wars pia, kama Luminara. Bendera ya Tz inazidi kupeperushwa kote kote. [emoji1]
Rugemalila, who the fudge is konde boy?kenya kuna manzi mmoja anaitwa betty kyalo aiiiiii ni kazuri kale katoto eti nilisikia konde boy alitaka apite nae yule mtaliano pori akaja juuuu..... konde boy angekapata kale ka betty wange damshiiii
Kama ww humjui kamuulize dada yako betty kyalo, huddah hao watakuelezea vizuriiiiiii maana mm nikianza kukuelezea utapata tabuuuRugemalila, who the fudge is konde boy?
Nilidhani utanieleza kwamba ni mtu ambaye hadithi ya maisha yake au shughuli zake ipo kwenye vitabu au documentary flani ambayo nikifatilia itani'inspire'. Kumbe ni mambo ya umbea na uzinzi tu? Huo ni utaahira ambao mimi huwa sina muda nao.Kama ww humjui kamuulize dada yako betty kyalo, huddah hao watakuelezea vizuriiiiiii maana mm nikianza kukuelezea utapata tabuuu
ππππ ndugu mwenye huduma namba usipaniki ni story na socializationNilidhani utanieleza kwamba ni mtu ambaye hadithi ya maisha yake au shughuli zake ipo kwenye vitabu au documentary flani ambayo nikifatilia itani'inspire'. Kumbe ni mambo ya umbea na uzinzi tu? Huo ni utaahira ambao mimi huwa sina muda nao.
Tanzania kwenye kipindupindu na ulaji wa albino.Kwan huyu mdada makazi yake yako wapi??
Kenya kwenye malaria na mabasha au mbele, us
Tanzania kwenye kipindupindu na ulaji wa albino.
Naby Keita huyu jamaa mlimzika kwa memorial park gani hapo dar?bila shaka hizo fedha zitatumika kuondoa njaa kule baringo na turkana.
Umenena.Afrika tuna shida kubwa mno, sijui Watanzania akili zetu zimepelekwa wapi. Mdada kafanya vyema ktk sehemu, baada ya kumpa hongera tunaanza majungu.
Hivi EAC kuna nchi mbovu zaidi ya Tanzania? Kuna nchi ya kuigwa zaidi ya Kenya? Tunapaswa kuamka Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app