Lupita Nyong'o awa gumzo tena: Filamu iliyomshirikisha yaingiza hela takriban KES 7Billion ndani ya siku tatu za kwanza

Lupita Nyong'o awa gumzo tena: Filamu iliyomshirikisha yaingiza hela takriban KES 7Billion ndani ya siku tatu za kwanza

Hongera Mtanzania Lupita umeleta sifa kwa Taifa letu Tanzania.

Congrats Lupita you've brought honor to your mama land Tanzania...keep going

Sent using Jamii Forums mobile app
Anapeperushaje bendera ya kenya wakati ni mtanzania aliezaliwa mexico

Sent using Jamii Forums mobile app
400px-TBRS01E06_Promo1.jpg
Msimsahau na huyu mkenya mwingine Eddie Gathegi(mwenye asili ya kitanzania offcourse 😎). Anayefanya mambo makubwa kule Hollywood. Hapo yupo kwenye set ya Tv series kwa jina Blacklist na utampata pia kwa Twilight Saga, Nikita, CSI: Miami, Into the Badlands, kwenye filamu ya Criminal Activities wakiwa na John Travolta n.k. n.k.
 
Afrika tuna shida kubwa mno, sijui Watanzania akili zetu zimepelekwa wapi. Mdada kafanya vyema ktk sehemu, baada ya kumpa hongera tunaanza majungu.

Hivi EAC kuna nchi mbovu zaidi ya Tanzania? Kuna nchi ya kuigwa zaidi ya Kenya? Tunapaswa kuamka Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu cha kushangaza zaidi, hata watanzania wenyewe kwa wenyewe huwa mnaekana chini mkiona mmoja wenu anajitahidi au amefanikiwa. Wala sikutegemea cha ziada ila wivu na majungu tu dhidi ya mafanikio ya huyu mkenya mwenzetu Lupita Nyong'o.
 
a3a6f9fdef3099f2e4fedf285a6ffa20.jpg
N'yadikwa, kuna huyu mkenya mwingine kule Hollywood, Mary Oyaya aliyeigiza kwenye Star Wars pia, kama Luminara. Bendera ya Tz inazidi kupeperushwa kote kote. [emoji1]
 
Hawa hatuna shida nao tuko na tatizo na ninyi kwa kudai kwamba Lupita ni wenu wakati kazaliwa Mwanza...eti mko serious kabisa ni mtoto wa gavana, nyi nyang'au mna dharau sana. Lupita is typical Tanzanian...labda hawa ndio wa huko kwenu.
 
benji.jpg
Sawa N'yadikwa, acha tujaribu mwingine. Huyu mkenya mwingine Hollywood anaitwa Benji au Benjamin A. Onyango. Aliigiza kwenye filamu ya 'Tears of the Sun' wakiwa na Bruce Willis na Monica Bellucci na filamu zingine maarufu pia kama X-Files na Resident Evil. Najua utamkubali kwa hili, alipata role yake ya kwanza kama star 'Reverend' kwenye filamu ya 'God is not Dead' baada ya kujitambulisha na kusema kwamba anaelewa na kuzungumza kiswahili. Hivyo tu, na wote wengine waliokuwa kwenye auditions za fursa hiyo wakatupiliwa mbali. Ni producer pia na Hollywood wanamjua kama 'go to guy' kwa yeyote anayetaka line za kiswahili kwenye movie yake.
 
rotich-today.jpg
Huyu naye ni Kipsang Rotich, aliyeigiza kwenye filamu ya Star Wars kama Nien Nunb. Alikiwakilisha kikikuyu kule Hollywood kwenye filamu hiyo na hii line, 'era adu acio maoke na guko' yaani kwa kiswahili, waambie hao watu waje huku. 😀
 
images
Oii hili jitu pia lazima litakuwa litanzania. Ila jina lake tu ndio la kikenya, Charles Maina Gitonga filamu yake ya kwanza Hollywood ilikuwa hiyo hapo, 'The air up there' kuhusu mpira wa vikapu.
 
kenya kuna manzi mmoja anaitwa betty kyalo aiiiiii ni kazuri kale katoto eti nilisikia konde boy alitaka apite nae yule mtaliano pori akaja juuuu..... konde boy angekapata kale ka betty wange damshiiii
 
Rugemalila, who the fudge is konde boy?
 
Kama ww humjui kamuulize dada yako betty kyalo, huddah hao watakuelezea vizuriiiiiii maana mm nikianza kukuelezea utapata tabuuu
Nilidhani utanieleza kwamba ni mtu ambaye hadithi ya maisha yake au shughuli zake ipo kwenye vitabu au documentary flani ambayo nikifatilia itani'inspire'. Kumbe ni mambo ya umbea na uzinzi tu? Huo ni utaahira ambao mimi huwa sina muda nao.
 
😀😀😀😀 ndugu mwenye huduma namba usipaniki ni story na socialization
 
Kwan huyu mdada makazi yake yako wapi??
Kenya kwenye malaria na mabasha au mbele, us
 
Nyang'auz watu wa ajabu sana yaani wamekazana kabisa na kubana pua 'Lupita mkeenya ' hamna soni eboo!
 
Back
Top Bottom