Lupita Nyong'o awa gumzo tena: Filamu iliyomshirikisha yaingiza hela takriban KES 7Billion ndani ya siku tatu za kwanza

Lupita Nyong'o awa gumzo tena: Filamu iliyomshirikisha yaingiza hela takriban KES 7Billion ndani ya siku tatu za kwanza

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
lupita-nyongo.jpg
Kwa mara nyingine uigizaji wa mkenya Lupita Nyong'o umesifiwa sana kule Hollywood. Performance ya Lupita kwenye movie mpya ya horror 'Us' imeibua maoni kutoka kwa watazamaji na wataalamu wa filamu pia, kwamba huenda Lupita akajishindia tuzo lingine la Oscars. 'Us', filamu mpya ya horror, kutoka kwa producer Jordan Peele, imeingiza KES 70Billion($70.3Million) ndani ya siku tatu za kwanza za kutizamwa kwenye sinema. Hii ni rekodi mpya kwenye nyaja ya production ya filamu Hollywood. https://www.standardmedia.co.ke/bus...pita-nyong-o-s-new-movie-rakes-in-sh7-billion
10504752-0-image-a-7_1551572893236.jpg
image
 
TELEMMGLPICT000191870806_trans_NvBQzQNjv4BqGnvE-VNXSbhg1qqFSd7ePzlaTMTxUhlzF8Rkw038U-A.jpeg
lead_720_405.jpg
image.jpg
Huyu dada yetu sio wa mchezo mchezo. Talanta anayo na zaidi ya yote anajitosa kweli kweli kwenye role zake ndio maana uigizaji wake ni wa hali ya juu. Uigizaji wake kwenye hii filamu 'Us' ambayo ni ya horror, filamu ambazo huwa sio maarufu kama filamu zile zingine, unastahili kusifiwa kweli. Naamini kwamba mambo yataendelea kuwa mazuri kwake, maanake nyanja ya filamu ni biashara na najua watamg'ang'ania sana ili wamshirikishe kwenye filamu zao ndio ziuze. Safi sana, jina la nchi yetu tukufu ya Kenya lazima litambulike kote kote!
 
lupita-lenses-z.jpg
gettyimages-1131618353.jpg

gettyimages-1135940251.jpg

Ubunifu wa muonekano wa Lupita Nyong'o kwenye hafla mbali mbali. Akiwa kwenye shamrashamra za kufanya promotion ya filamu hiyo mpya ya 'horror', 'Us'.
 
Back
Top Bottom