Lupita Nyong'o na nywele zake

Lupita Nyong'o na nywele zake

Why awe 'luckiest man alive'?
sababu ya umaarufu?
alikuwa kidem cha kawaida sana juzi juzi tu wakati anaigiza Suga ..series ya MTVbase

nna hisi wapo walio hit n run kipindi hiko...

mtu kuwa maarugu hakumfanyi awe 'special'

inawezekana kuna kidume huko Nairobi hakipokei simu zake vile vile
Hii ya kidume kutopokea simu nimecheka kwa sauti [emoji23][emoji23][emoji23]
 
o-LUPITA-NYONGO-570.jpg
o-LUPITA-NYONGO-570.jpg
ace356086a16aded4551290b74ba0b97.jpg
uyu kweli ni m-KE.

typical!
 
Why awe 'luckiest man alive'?
sababu ya umaarufu?
alikuwa kidem cha kawaida sana juzi juzi tu wakati anaigiza Suga ..series ya MTVbase

nna hisi wapo walio hit n run kipindi hiko...

mtu kuwa maarugu hakumfanyi awe 'special'

inawezekana kuna kidume huko Nairobi hakipokei simu zake vile vile

hahahahThe Boss
 
Huyu m Mexico ananimaliza sana mapigo yake. Akifungua mdomo kuongea utajua kasoma Yale kweli, sio kapita tu shule.
Na babake ni senator Kisumu Kenya pamoja nyumba zao huko Kisumu city Na Nairobi Kenya. Pia Mimi napenda sana huyu mkenya kutoka Kijiji cha Mexico Kenya. Mwaaaa kwa wanakijiji wa Mexico kenya
 
She's beautiful (Nb;According to my views), Lupita.

Pia hajajikoboa kama wenzangu hapo juu walivyokwisha kumdadavua.Hajatoboa masikio matundu 8, Hatindi nyusi nk.This is how African womens should be, not faking realities for western culture and others similar to this.
 
Sio bongo tuna midude eti wema ,feki kibao njaa tupu.
 
Back
Top Bottom