Ni kweli kabisa ....uko sahihi...huko Njombe na Tunduma pia vijana wawili wameuawa..2015 walimuua kijana mdogo Mohammad Mtoi ...damu yake bado inawadai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa ....uko sahihi...huko Njombe na Tunduma pia vijana wawili wameuawa..2015 walimuua kijana mdogo Mohammad Mtoi ...damu yake bado inawadai
Kapewe kura. Mwana FA tutaendelea kuangalia nyimbo zake kwa youtubeView attachment 1601953
Hako hapo juu, kanamjambisha MwanaFA sasa hivi huku kwetu Muheza tunamwita MwanaKULITAFUTA, MwanaKULIPATA!!
Angalizo, baadae tusisikie malalamiko y mtu kuibiwa kura baada ya uchaguzi.Mgombea ubunge jimbo la Lushoto kwa CHADEMA ana ushawishi mkubwa. Kwanza naomba ku-declare interest kwamba mimi ni mwanachama wa CCM.
Kwa miaka nenda rudi jimbo letu la Lushoto limekuwa ngome kuu ya CCM lakini kwa mwaka huu hali si kama tulivyo zoea kwani huyu mgombea wa CHADEMA anayeitwa Germao Mbelwa anaonekana amejipanga haswa na kadri siku zinavyo yoyoma ndivyo anavyo panda chati, naomba chama changu kidiriki kuvunja makundi yaliyopo kwani chama kipo rehani.
Msema kweli mpenzi wa MUNGU
Lissu amekuwa model yetu watanzania, asante sana Lissu.Yes. Mbegu aliyo/anayoipanda Lissu tunaenda kuwa na kina Lissu wengi sn na ndipo nchi itanyooka na tutahedhimiana.
Natamani kua km Tundu Lissu 👍👍😀😀
Kweli mkuu! Namkumbuka sana huyo jamaaa!! nilikuwaanga nasima mabondiko yake jf, nilipo muona uso kwa uso nilimkubali!!2015 walimuua kijana mdogo Mohammad Mtoi ...damu yake bado inawadai
Safiiiii sanaaaa!Muheza mwana Fa kashikwa nyeti na mtoto wa kike,kambi ya adadi wamenuna chama kimegawanyika
Kabisa yani... 👍👍Lissu amekuwa model yetu watanzania, asante sana Lissu.
Mimi binafsi nilikuwa mshabiki wake hapa Jf niliumia Sana kwa kifo chake ningetamani kumwona kipindi Kama hiki tukishuhudia yeye akiwa mbunge na Raisi wetu mpendwa Tl hakika angepewa wizara.Kweli mkuu! Namkumbuka sana huyo jamaaa!! nilikuwaanga nasima mabondiko yake jf, nilipo muona uso kwa uso nilimkubali!!
Bado kuna watu vijijini wanaaminishwa kuwa CDM wataleta vita. Waelewa wanatakiwa kuwasomesha .Kuna watu wanahubiri amani kwa kuwa hawataki haki, na ndio hao hao wanaotisha watu kuhusu vita.Lissu kafungua watu akili.
Nilijua na wewe ni Joined Sept 20. Basi sawa.Mgombea ubunge jimbo la Lushoto kwa CHADEMA ana ushawishi mkubwa. Kwanza naomba ku-declare interest kwamba mimi ni mwanachama wa CCM.
Kwa miaka nenda rudi jimbo letu la Lushoto limekuwa ngome kuu ya CCM lakini kwa mwaka huu hali si kama tulivyo zoea kwani huyu mgombea wa CHADEMA anayeitwa Germao Mbelwa anaonekana amejipanga haswa na kadri siku zinavyo yoyoma ndivyo anavyo panda chati, naomba chama changu kidiriki kuvunja makundi yaliyopo kwani chama kipo rehani.
Msema kweli mpenzi wa MUNGU
Serikali itakayoundwa na Lissu ni Raha tupu.Mimi binafsi nilikuwa mshabiki wake hapa Jf niliumia Sana kwa kifo chake ningetamani kumwona kipindi Kama hiki tukishuhudia yeye akiwa mbunge na Raisi wetu mpendwa Tl hakika angepewa wizara.
Katoto kaliichaka NEC hadi ikanyosha mikono.View attachment 1601953
Hako hapo juu, kanamjambisha MwanaFA sasa hivi huku kwetu Muheza tunamwita MwanaKULITAFUTA, MwanaKULIPATA!!
Abarikiwe sana Lissu na Bwana wa Majeshi Yehova Mungu kama aishivyo milele na mileleLissu kafungua watu akili.
Pwani inaingia tena kwenye ngome ya chadema soon baada ya Kaskazini na Kanda ya Ziwa.Huo ni ujinga tunataka kuwa sereous na maswala muhimu siyo cheap politics,tunahitaji kupambania ccm kwa weledi hapa lushoto
Chaga-dema hampati kitu