Uchaguzi 2020 Lushoto hajulikani nani atashinda 2020

Uchaguzi 2020 Lushoto hajulikani nani atashinda 2020

Na Bumbuli bado ni Makamba Dynasty? Wasambaa wa Milimani wanatakiwa Wamtose Magufuli
 
Mgombea ubunge jimbo la Lushoto kwa CHADEMA ana ushawishi mkubwa. Kwanza naomba ku-declare interest kwamba mimi ni mwanachama wa CCM.

Kwa miaka nenda rudi jimbo letu la Lushoto limekuwa ngome kuu ya CCM lakini kwa mwaka huu hali si kama tulivyo zoea kwani huyu mgombea wa CHADEMA anayeitwa Germao Mbelwa anaonekana amejipanga haswa na kadri siku zinavyo yoyoma ndivyo anavyo panda chati, naomba chama changu kidiriki kuvunja makundi yaliyopo kwani chama kipo rehani.

Msema kweli mpenzi wa MUNGU
Angalizo, baadae tusisikie malalamiko y mtu kuibiwa kura baada ya uchaguzi.
 
Yes. Mbegu aliyo/anayoipanda Lissu tunaenda kuwa na kina Lissu wengi sn na ndipo nchi itanyooka na tutahedhimiana.

Natamani kua km Tundu Lissu 👍👍😀😀
Lissu amekuwa model yetu watanzania, asante sana Lissu.
 
Aangalie mohamed mtoi alivyofanywa siasa mbaya sana
 
Kweli mkuu! Namkumbuka sana huyo jamaaa!! nilikuwaanga nasima mabondiko yake jf, nilipo muona uso kwa uso nilimkubali!!
Mimi binafsi nilikuwa mshabiki wake hapa Jf niliumia Sana kwa kifo chake ningetamani kumwona kipindi Kama hiki tukishuhudia yeye akiwa mbunge na Raisi wetu mpendwa Tl hakika angepewa wizara.
 
Mgombea ubunge jimbo la Lushoto kwa CHADEMA ana ushawishi mkubwa. Kwanza naomba ku-declare interest kwamba mimi ni mwanachama wa CCM.

Kwa miaka nenda rudi jimbo letu la Lushoto limekuwa ngome kuu ya CCM lakini kwa mwaka huu hali si kama tulivyo zoea kwani huyu mgombea wa CHADEMA anayeitwa Germao Mbelwa anaonekana amejipanga haswa na kadri siku zinavyo yoyoma ndivyo anavyo panda chati, naomba chama changu kidiriki kuvunja makundi yaliyopo kwani chama kipo rehani.

Msema kweli mpenzi wa MUNGU
Nilijua na wewe ni Joined Sept 20. Basi sawa.
 
Mimi binafsi nilikuwa mshabiki wake hapa Jf niliumia Sana kwa kifo chake ningetamani kumwona kipindi Kama hiki tukishuhudia yeye akiwa mbunge na Raisi wetu mpendwa Tl hakika angepewa wizara.
Serikali itakayoundwa na Lissu ni Raha tupu.
 
View attachment 1601953
Hako hapo juu, kanamjambisha MwanaFA sasa hivi huku kwetu Muheza tunamwita MwanaKULITAFUTA, MwanaKULIPATA!!
Katoto kaliichaka NEC hadi ikanyosha mikono.

Hawa washenzi dawa yao ni kuwakomalia tu.

Mwaka 2015 Kawe na Kibamba bila Halima na Mnyika kuwakomalia walikuwa wameshageuza matokeo.
 
Huo ni ujinga tunataka kuwa sereous na maswala muhimu siyo cheap politics,tunahitaji kupambania ccm kwa weledi hapa lushoto
Pwani inaingia tena kwenye ngome ya chadema soon baada ya Kaskazini na Kanda ya Ziwa.
 
Mazuzu kama wewe ndo mmemponza Meko...mmejaa unafiki na kujipendekeza sana...

Chadema ni chama cha kitaifa na kila mtu anajua hilo...hizo propaganda zenu mfu hazina nafasi karne hii
Chaga-dema hampati kitu
 
Back
Top Bottom