Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Katika Mkutano wa Msigwa unaofanyika leo Julai 20, 2024 Iringa Mjini Lusinde amesema;
"CCM na vyama vya upinzani ni kama babu na mjuu, hakuna ugomvi kati yao.
"Mjukuu anaweza kucheka anavyotaka na mjukuu wake, kama babu ana mapengo mjukuu anaweza kuingiza mpaka vidole kwenye mapengo yake, babu anacheka hana shida, anacheka na mjukuu wake
"Mjukuu akishika (sehemu za siri) lazima ale kofi. Kwahiyo wao wacheze na mikutano ya hadhara, waimbe nyimbo zao lakini ikifika kwenye uchaguzi wa kijiji, diwani, ubunge na Urais watoe mikono.
"Huawezi kuruhusu mjukuu wako afikir kiwango hicho!"