Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,433
- 2,791
1. Je wewe ni msemaji wa Serikali?
2. Je, wewe ni afisa uhusiano wa TPA?
3. Ni msemaji wa chama tawala?
4. Je wewe ni msemaji wa Bunge na kamati zake?
5. Twambie wewe ni nani?
Huoni kama ni unatetea kwa nguvu Sana kitu kilichotiliwa mashaka na Watanzania?
Si ungesubiri Bungeni June 10, ukaongea kama mbunge akiwa Bungeni?
Mimi sijakuelewa zaidi nimeona ama ni kiherehere,au umetumwa au chawa ama hutuheshimu Watanzania kama nasi tunauelewa na tunajua mambo.
Porojo kama hizi zungumza mambo yanayohusu migongano ndani ya chama chako na si maslahi ya nchi
Hili SAKATA LA bandari we are watching you na tupo makini mno kuliko unavyodhani MH.
Naipenda Tanzania 🇹🇿