Lusinde Kibajaji umeitisha press kuzungumzia sakata la DP World kama nani?

Lusinde Kibajaji umeitisha press kuzungumzia sakata la DP World kama nani?

Tanganyikaaaaaaaaa,Tanganyikaaaaaaaaa! Nakuita Tanganyikaaaaaaaaa itika Basi Tanganyikaaaaaaaaaaaaa auwiiiiiiii wameanza huku kutufunga minyororo ya utumwa ,njoo Tanganyika Leo usisubiri kesho
 
Si mbunge na raia ana haki ya kutoa maoni
 
Anadhani watanzania wote akili zetu kama zake kwa kuwa yeye ni chawa anataka nasi tuwe na akili za kindezi kama zake.
 
Lusinde na Msukuma ni wazee wa kazi chafu, kutokana na elimu yao duni ni rahisi sana kujitoa ufahamu
 
1. Je wewe ni msemaji wa serikali?
2. Je, wewe ni afisa uhusiano wa TPA?
3. Ni msemaji wa chama tawala?
4. Je wewe ni msemaji wa Bunge na kamati zake?
5. Twambie wewe ni nani?
Huoni kama ni unatetea kwa nguvu Sana kitu kilichotiliwa mashaka na Watanzania?
Si ungesubiri Bungeni June 10, ukaongea kama mbunge akiwa Bungeni?
Mimi sijakuelewa zaidi nimeona ama ni kiherehere,au umetumwa au chawa ama hutuheshimu Watanzania kama nasi tunauelewa na tunajua mambo.
Porojo kama hizi zungumza mambo yanayohusu migongano ndani ya chama chako na si maslahi ya nchi
Hili SAKATA LA bandari we are watching you na tupo makini mno kuliko unavyodhani MH.
Naipenda Tanzania 🇹🇿
Hawa ndio watu Magufuli aliwataka ili waje wapitishe katiba ya kumpa ufalme wa molele Tanganyika matokeo yake yamekua tofauti... wanampa DP world milki ya milele ya Tanganyika.

Hopeless creatures!
 
1. Je wewe ni msemaji wa serikali?
2. Je, wewe ni afisa uhusiano wa TPA?
3. Ni msemaji wa chama tawala?
4. Je wewe ni msemaji wa Bunge na kamati zake?
5. Twambie wewe ni nani?
Huoni kama ni unatetea kwa nguvu Sana kitu kilichotiliwa mashaka na Watanzania?
Si ungesubiri Bungeni June 10, ukaongea kama mbunge akiwa Bungeni?
Mimi sijakuelewa zaidi nimeona ama ni kiherehere,au umetumwa au chawa ama hutuheshimu Watanzania kama nasi tunauelewa na tunajua mambo.
Porojo kama hizi zungumza mambo yanayohusu migongano ndani ya chama chako na si maslahi ya nchi
Hili SAKATA LA bandari we are watching you na tupo makini mno kuliko unavyodhani MH.
Naipenda Tanzania 🇹🇿
Frustrations. Hili jambo limewavuruga
 
Hili jambo la Bandar ni zito sana sana.
 
Back
Top Bottom