Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Tozo ipo kwenye Kanuni (Regulations) siyo ktk sheria iliyopita Bungeni. Kanuni huwa haipiti bungeni, mwisho wake ni kwa waziri wa wizara husika. Kwa hiyo hata wabunge wenyewe hawana habari na viwango vya tozo, wamejikuta wakikubwa na makato. Sasa ni wakati wa Waziri husika kurekebisha tozo husika kupitia Kanuni husika. Hii hata johnthebaptist anajua pamoja na ubumbumbu wake wa sheria.....hahahahaha. Salama bwashee?Wao kama wabunge hawakuuliza wizara kiwango cha makato?
Waliipa wizara kupanga viwango wanavyotaka?
Sasa walijadili nini kama hawakujua viwango vitakavyokatwa?
Ni sawa na uweke signature kwenye open cheque halafu umpe ruhusa mhasibu aandike kiwango anachotaka, atafanya anavyotaka tu na lawama zitakurudia wewe ulieweka sahihi.
Nakuelewa mkuu.Tozo ipo kwenye Kanuni (Regulations) siyo ktk sheria iliyopita Bungeni. Kanuni huwa haipiti bungeni, mwisho wake ni kwa waziri wa wizara husika. Kwa hiyo hata wabunge wenyewe hawana habari na viwango vya tozo, wamejikuta wakikubwa na makato. Sasa ni wakati wa Waziri husika kurekebisha tozo husika kupitia Kanuni husika. Hii hata johnthebaptist anajua pamoja na ubumbumbu wake wa sheria.....hahahahaha. Salama bwashee?
Walijua wanakipamba chama kumbe ndio wameharibu.Nilitaka kushangaa kwamba hivi kuna chombo gani cha habari makini kinachoweza kumtuma mwana habari wake akamsikilize huyu zero...nilivyoona ni Channel 10 (TV ya CCM) sikushangaa.
Wasimtafute mchawi, konyo kweli hawa. Wakae kwa kutuliaHili ndio Bunge la Ma-CCM.
Kwanza nani aliwachagua?Wabunge wote pumbavu zenu..