Lusinde: Sisi wabunge tulipitisha Sheria tu lakini Kiwango(cha tozo) kilipangwa na Wizara ya Fedha

Wameanza kugeukana ukoo wa panya.
Ukoo huo ni haribifu kupita maelezo, haujali wanacho haribu iwe vazi la sikukuu, harusi ama suti ya gharama, ilimradi ameharibu na kuwatengenezea wanae kirago cha kulaalia, ilmradi akuthibitishie kuwa yeye ni hodari wa kuharibu.
 
Ndugu yangu hiyo ndiyo nchi yetu, wabunge ni rubber stamp! Hakuna wanachojua zaidi ya posho yao. Hii nchi ingeendelea zaidi bila hii genge. Serikali ikishaandaa madudu yake kibajeti inaitisha hilo genge ili kuaminisha kuwa bajeti ya nchi ilipitaga bungeni na kuungwa mkono na majority ya wabunge. Otherwise hatuna wabunge. Ingekuwa nchi ya watu wenye akili tayari hiyo sheria ingesharudishwa bungeni au waziri husika ameshapewa order ya revise Regulations husika.
 
Hawa wanaojiita wabunge huko bungeni wanamwakilisha shetani na si wananchi.
 

Tuna shida kubwa sana!! Badala ya Bunge kuwa kweli chombo cha kutunga sheria imekuwa ni chombo kinachopitisha sheria. Ni aibu kuwa na wabunge wanaosema wanasimamia wataalamu wa wizara huku elimu zao na ujuzi ni wa chini! Ni aibu kusikia kuwa “mtunga” sheria anapigwa mkwara akitaka “kutoa shilingi” kutopitisha kitu alicholetewa!!

Ukishapitisha sheria unakuwa fully responsible na uzuri au madhara yake hasi!! Anachosema Lusindw hapa ni sawa na kumruka Mwigulu huku Mwigulu akisema hii ni sheria iliyotungwa na Bunge na huku Spika akitema cheche “anayepinga hii tozo atupe njia mbadala wa kupata fedha”.
 
Hamkutakiwa kupitisha
sheria bila kuziona kanuni...mna makosa makubwa nyie wabunge wa CCM.

Inaanza Sheria halafu inakuja kanuni..

Wao bado wana mamlaka ya kuiita Serikali na kuzikataa kanuni..
 
Mishahara yenu pia ikatwe kodi kama watanzania wengine. Mnajaribu kutuonyesha kama kuwa wana siasa ni kuwa wabarikiwa na lazima muwe na special favors.
Nchi hii tuijenge wote. hakuna mtu special when it comes to our motherland
 
Lusinde anazidi kuonyesha uwezo wake mdogo sana wa kufikiri, iweje unajiaibisha mwenyewe na wabunge wenzako wote.

Kwanza tozo zilivyoletwa bungeni kwanini hamkuhoji kiasi gani, pili Mh. Rais kashasema tozo zitaendelea, Mh. Spika kasema tozo zitaendelea, na watu tushakubali tozo iendelee, haoni yeye kama mbunge anaongelea kitu ambacho viongozi wake wa juu washalifunga tayari, yeye anazidi kuharibu. Low IQ kabisa
 
Usimuonee bure Shule hamna hapo
 
Bunge la vilaza,kwa nini hamkumbana Waziri atoe rates nyie mkapitisha tu? Yaani mumeuziwa mbuzi kwenye sandarusi. Pumbavu zenu.
 


Wizara ya fedha wanaoiba mabilioni kwa malipo hewa? WAnapata wazpi ujasiri wa kusema nchi inahitaji kuongeza mapato? Wana uchugnu gani na nchi hawa? Wameona wizi wa hazina hautoshi sasa wanaona wafkike hadi mifukoni mwetu? Hli jambo halipo.
 
Huyu jamaa kweli mkichwa hakuna kitu kabisa.
Sasa huo utetezi wa kijinga , anaenda bungeni kufanya nini?
Kukusanya posho na kusugua viti kwa maka...li..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…