Lusinde: Sisi wabunge tulipitisha Sheria tu lakini Kiwango(cha tozo) kilipangwa na Wizara ya Fedha

Huyu mpuuzi kwetu hawezi kuwa hata diwani..Wagogo mnafeli wapi majitu Kama haya ya nini...
 
Mkuu asante kwa ufafanuzi, hata hivyo changamoto ya hizo tozo haikutokana na kwamba Wabunge kupitisha sheria tu bali kinachoonekana ni kutokuwa na Wabunge wanaoweza kufanya uchambuzi wa kimantiki (Critical Analysis) ili kujua effects za sheria wanayoitunga.
 
Kibajaji kumbe kama akili kuliko waliosoma zaidi yake na wengine ma bosi wake
 
Hili nilishalishtukia kitambo sana, sheria kama sheria haiwezi kupitisha viwango vya tozo........viwango vya tozo vinakuwa determined na wizara, ndo maana waziri ana mamlaka ya ku-review hivyo viwango bila hata kulishirikisha bunge. Mimi nimelijua hili siyo mwanasheria, lakini waziri na yule Msigwa wanadanganya kwamba huwezi kubadili viwango eti vimeshapitishwa na sheria ya bunge. Wanadanganya wazi utafikiri nchi haina watu waliosoma sheria, viwango vya tozo mara zote vinawekwa kwenye jedwali (schedule) na waziri ana mamlaka ya kuvipitia upya.......
 
Tuliwaambia kuwa nyinyi wabunge wa CCM, kazi yenu pekee ni kupiga makofi kwa kuyaunga mkono yale yote yanayoletwa na serikali, hata kama yataleta madhara makubwa Sana kwa wananchi.

Mmeona sasa mnaanza kupingana wenyewe kwa wenyewe!
 

Nadhani Lusinde anaupigamwingitu, haiitajiki elimu kubwa kwa mbunge kujiuliza maswali hayoapo juu haya majitu yakisha chaguliwa yanajitoaga akilitu makusuditu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…