Luteni Ian Kagame

Aya Mambo naya fwatilia kwa
Umakini koo acheni kukariri.
 
We si unaona hata mtoto na kwamba mwenyewe walivyofanana
sasa unategemea nini, Kagame yupo Uganda na congo porini huko anaishi miezi rundo pengine hata mwaka, haendi Nairobi ambako mkewe alikuwa anaishi, ndio mkewe awe anamsubiria yeye tu miezi yote hiyo, na namna ninavyowajua watusi, hawatofautiani sana na wahaya, apitishe mwezi bila kugawa uchi? amepigiwa sana Pk, though mtoto wake wa kwanza anafanana naye sana, ila ange na ian, kuna walakini sio wa kwake, ni wa huyo mwamba mwingine. ni tetesi tu, sipigii mstari.
 
Watusi wanaoishi uganda sijasikia wameua mtu, hata walioko kanda ya ziwa tz sijasikia wakiwa na migogoro na wahutu sasa kwanini wa Rwanda na burundi wawe ndo wakorofi? Shida ni nn?
Ugomvi wa hawa watu (Hutu na Tutsi) dates back enzi za ukoloni, wabelgi kama ndugu zao wafaransa wafitini wakubwa walitengeneza fitna baina ya hizi kabila ambapo awali walikua wakiishi vema na kuingiliana bila tatizo. Tuachane na hayo.

Kwa PK mpaka kufanya assasination ya Habyarimana ni baada ya bwana yule kuanza kuwanyanyasa sana watutsi, ambapo tayari walikua wakiishi vizuri tu mpaka alipoanza naye kuwa mshenzi. PK anakubalika na jamii kubwa tu ya wahutu, ana matatizo yake kama viongozi wengine wa kiafrika, lakini ameleta umoja na somehow kwa kutumia mkono wa chuma. Wapo watusi wengi tu pia wasiomuunga mkono na anawanyamazisha kimyakimya. Mifano ipo. Naongea kwa experience, nina aunt yangu ni mnyarwanda (mtusi). Upande wa mama yangu ni watu wa Musoma, na waliingiliana na watusi waliohamia kuja Tanzania miaka mingi sana. Wahutu ni wakatili lakini hawa jamaa sio poa.
 
usilolijua ni kwamba hata kabla ya ukoloni, ni kabila la watusi tu ndio walistahili kutawala, wabelgiji walipokuja waliendeleza tu. fanya tafiti juu ya mfalme wa watusi utaelewa ninachomaanisha. na icho kimewauzi sana wahutu kwa miaka mingi na ndio ilikuwa chanzo cha hutu revolution ya miaka ya 1950s ambapo Kagame akiwa na miaka 3, alienda ukimbizini Uganda kutokana na revolution hiyo. kagame amezaliwa rwanda, ila akiwa na miaka mitatu akakimbilia na wazazi wake uganda na akaishi kama mganda, Tanzania kule monduli alikuja kama mganda, pale uganda alifanikiwa kuwa afisa wa juu kabisa wa jeshi la uganda chini ya m7 huyuhuyu.
 
Ukabila unatufanya wa Afrika tuendelee kuburuta mkia, China, India, Europe, Amerika zimepiga hatua kwa sababu wameamua kuondoa tofauti zao, wameungana wana faida ya watu, masoko yao ya ndani yanajitosheleza,

Ukija Afrika bado tumefungwa na fikra za utengano, mipaka tuliowekewa na wakoloni inaendelea kututafuna miaka zaidi ya 60, toka Mataifa yetu yapate uhuru.

Idadi ya watu Afrika ni 1.2 billion, tukiamua kuondoa tofauti zetu, tukawa kitu kimoja tutasonga mbele, kwa kutegemea soko la ndani, hata kama mataifa ya magharibi yakiamua kukaa pembeni.

Tanzania si kitu bila Kenya, na Kenya si kitu bila Uganda, nk. Wote tunategemeana, tuondoe fikra tulizofungwa nazo enzi za ukoloni, tuungane tuwe kitu kimoja,

Kama Nyerere aliweza kuunganisha makabila zaidi ya 100 ya Tanzania, hata sisi tukiamua kuweka tofauti zetu za kikabila, kijiografia, tunaweza kuungana kwa mustakabali wa vizazi vyetu vijavyo.

Tukiendelea na fikra za kujiona mimi ni Mtanzania, mimi ni mkenya, mimi ni mganda, tutakuja tutawaliwe tena,

Amerika ilivamia Libya hatukua na cha kumfanya, tungekuwa tumeungana asingeweza kuthubutu kuivamia Libya,

Congo inapitia machafuko miaka nenda miaka rudi, sababu ya utengano wetu, hatuthaminiani, ni rahisi mtu mweusi kumwaga damu ya ndugu yake, tofauti na wenzetu,

Tukiamua kuweka tofauti zetu za kikabila, kijiografia tunaweza kuifanya Afrika ikapiga hatua, na kuondoa dhana ya bara giza.
 
Asante Mkuu. Una kitabu Chochote kimezungumzia historia yake? Komredi Zuma haikufika hata std 7, ndo maana tulishuhudia vibweka ikiwemo kubaka na kudai kunawa immediately baada ya tendo
Kagame SIDHANI kama malifika chuo
 
Vyumbo vya habari vya Rwanda WALISEMA kauliwa na mfanyakaxi WAKE afu kakimbia ajulikani mpaka leo yupo wapi.
 
Vita ya 1994 walikusanyika watutsi kutoka tz, ud na burundi sasa ilikuwaje wa kutokea tz hawakupata vyeo (kutoboa) baada ya ushindi wa 94?
mimi nivyoajua watutsi wengi wakimbizi kutoka rwanda walienda Uganda , Uganda ndo walikuwa wengi watutsi wa rwanda.
 
Watusi wanaoishi uganda sijasikia wameua mtu, hata walioko kanda ya ziwa tz sijasikia wakiwa na migogoro na wahutu sasa kwanini wa Rwanda na burundi wawe ndo wakorofi? Shida ni nn?
Mkuu HIO shida ya watutsi hata congo kule still kuna shida kati ya watutsi na wacongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…