Huyu jamaa ilisemekana angekuwa mrithi wa Kagame......vipi kwa wadhifa wa mshauri wa usalama huenda akaachiwa nchi ?View attachment 2442977
James kaberebe aliyekuwa mnafiki naye akaenda msibani.
I hope it will work. Huko nyuma mambo mengi yameshindikana. Na what if hatafika 2034?Pichani ni Ian Kagame (jina lake kamili ni lan Kagame Deogratius Rutagambwa) ambaye alijiunga na jeshi la nchi hiyo wiki iliyopita.
Ian alikuwa ni miongoni mwa Maofisa cadets 568 waliopewa kamisheni katika Chuo cha Kijeshi cha Rwanda ambao waliweza kufaulu mafunzo ya kijeshi nchini Rwanda, kemisheni hizo zilitolewa na Rais Paul Kagame mwenyewe.
Ian Kagame Deogratius Rutagambwa ambae ni moja ya askali wapya katika jeshi la Rwanda alijiunga na Chuo cha kijeshi cha Royal Military Academy huko Sandhurst nchini Uingereza mnamo Agosti 8, 2021 na kuhitimu mafunzo yake Agosti 12, mwaka huu ambapo alitunukiwa cheo cha Luteni wa Pili (Second Lieutenant).
Chuo hiki cha Royal Military Academy cha huko Sandhurst ni miongoni mwa vyuo bora vya Kijeshi nchini Uingereza, vinavyo wafunza watoto wa viongozi wakubwa duniani, hasa kutoka Afrika, Mtoto wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Muhoozi Kainerugaba pia alipata mafunzo yake chuo hiki na kuhitimu mwaka 2000.
Hiyo Tisa, Kumi ni Kwamba...
Ian alikuwa ni miongoni mwa askali 24 maalumu waliopelekwa nje ya nchi kupata mafunzo muhimu, Ian Kagame Deogratius Rutagambwa ni mtoto wa 3 kuzaliwa kati ya watoto wa Kagame na mtoto wa pili wa kiume.
Huyu ndio mtoto pekee wa Kagame aliweza kufaulu mafunzo ya juu ya kijeshi na kujiunga na jeshi la nchi hiyo, mtoto mkubwa wa Kagame aitwae Ivan aliachilia masomo katikati katika Chuo cha Kijeshi cha West Point huko Marekani mwaka 2010 miezi miwili tu baada ya kujiunga, Alisema hakupendezwa na Jeshi.
Huyu Ivan alimkatisha tamaa baba yake sana, Paul Kagame alikili hilo hadharani.
Kuna tetesi kwamba Rais Kagame anapanga Ian (Ian Kagame Deogratius Rutagambwa) achukue nafasi yake mwaka 2034, awe ndio mrithi wake wa kiti cha uraisi.
MUHIMU: Itambulike ni tetesi..[emoji1]
Ndimi Comred Mbwana Allyamtu CMCAView attachment 2414354View attachment 2414358View attachment 2414355View attachment 2414356View attachment 2414357View attachment 2414359
Mnajidanganya. Hii dunia haifanyi kazi katika utaratibu huo. Our mortality has a meaning when it comes to planning such thingsHakuna Rwanda bila Kagame
Hakuna Uganda bila M7
Baadae PK akaamua kumrudi Rwiyigema. Tamaa ya madarakaPK alisoma basic intelligence course ya mwaka mmoja Tz,then akarudi kuendelea na kazi yake,baadae M7 akajaribu kumtenganisha PK na Rwigyema kwa kuwapeleka vyuo vya kijeshi nchi tofauti.
Rwigyema alipelekwa huko Fort Leavenworth,USA wkt PK alipelekwa Chuo Cha kijeshi Nigeria.Rwigyema alikataa kwenda huko US huku akiomba udhuru kwa M7,huku PK akienda hicho Chuo Cha Nigeria kwa muda kidogo Sana then Ndio akaenda huko Fort Leavenworth,US Kuchukua Nafasi ya Rwigyema.
Rwigyema alibaki Uganda makusudi akiwa na mipango ya kwenda kuivamia Rwanda na PK alikua anajua kila kinachoendelea khs mipango hio.
Rwiyigema alikuwa ni rafiki mkubwa sana wa kaka yake M7, General Swalehe. walipigana vita wote Mozambique wakiwa kama watu wa kule. Hii ilikuwa wakati wa ukombozi.Pale kulikua na beef kati ya kagame na fred gisa rwegyema, kama ulivosema kagame alipoenda mafunzoni the issue ilikua Museveni alimpenda sana fred so ilikua zuga kwa kagame, ili jamaa akapindue kule ashike nchi, kagame ilimuuma na ukumbuke ni mwanzilishi wa RPF ndio maana wale founder wote wa RPF kagame aliwala vichwa maana walikua wanaona jamaa kadakia mchongo juu kwa juu, na Rwigyema ni mzaliwa wa Rwanda lakini akachanja mbuga kwenda Uganda ndio alikua moja ya makamanda hatari wa museveni, basi umafia wa PK kwa wenzake haujaanza leo kwenye vilima vya matimba akiwa na miaka 33 akauliwa na kuzikwa Remera, hadi hapo kagame akawa hana mpinzani wa maana tena, kwa ufupi ilikua hivo
InterestingHuyo bana alikua anampenda sana demu mmoja alikua anaitwa Alexia mupende ambae aliuawa 2019 kwa kupigwa risasi, maana huyo mwamba alikua anapiga alexia na ange sasa ange akatafuta means sana hadi abaki peke yake na pk anavopenda furaha ya mwanae inasemekana alexia akauliwa ilikua kama movie hivi, huyo mwamba ndio akawa analewa chakarii kwa kumpoteza kipenzi chake maana ange na mwamba walikutana USA wakiwa wote wanasoma na jamaa sio kwamba familia yao ya kinyonge hapana, sema wazazi wake walihamia Rwanda wakitokea Burundi ni watutsi wa Burundi japo ana uraia wa Rwanda,
Duuuh...Balaa kubwa sana hili
Ni mnafiki sana anajua kila kitu...View attachment 2442977
James kaberebe aliyekuwa mnafiki naye akaenda msibani.
na ikitokea vita aende frontline kabisaaaa...,Kabisa aitumikie Rwanda kwa nguvu zake zote
It couldn't be said any better.Prince Ian Kagame of Kigali Kingdom under stewardship of His Majesty King and President Paul Kagame.
Kenya washapita huko tulikobaki sisi. Uhuru na ushawishi wake wote alishindwa kupindua matokeo kum_favor Odinga. Na unaijua nguvu ya Rais kwa katiba zetu mbovu.Afrika yote ni moja. Rushwa na kung'ang'ania madaraka kupo pale pale.
Wapi kuna nafuu? Kwetu msoga boys wamejaa tele. Uganda kama kawa, Kenya nao tuchekane wapi?
Kwa hiyo jamaa ni kama kalazimishwa kuwa na binti Kagame!? Inawezekana aliogopa kurudishwa Burundi.Huyo bana alikua anampenda sana demu mmoja alikua anaitwa Alexia mupende ambae aliuawa 2019 kwa kupigwa risasi, maana huyo mwamba alikua anapiga alexia na ange sasa ange akatafuta means sana hadi abaki peke yake na pk anavopenda furaha ya mwanae inasemekana alexia akauliwa ilikua kama movie hivi, huyo mwamba ndio akawa analewa chakarii kwa kumpoteza kipenzi chake maana ange na mwamba walikutana USA wakiwa wote wanasoma na jamaa sio kwamba familia yao ya kinyonge hapana, sema wazazi wake walihamia Rwanda wakitokea Burundi ni watutsi wa Burundi japo ana uraia wa Rwanda,
Ni wazi hawa wa huku Tz walishakuwa intergrated na ku_settle. Hawakutaka tena maisha ya usumbufu wa aina yoyote.Mchango wa kijeshi.
Lkn Pia PK amekulia Uganda wkt Janet Kagame amekulia Burundi so watakaobebwa hapo wanajulikana watatokea wapi.
Kwa mfano kwny jeshi lao Kuna kipindi top brass ya jeshi walienjoy waliokulia Congo wakina Gen. James Kabarebe,then kuna zamu walienjoy waliokulia Uganda wakina Gen. Nyamwasa,Kayonga,Nyamvumba na Sasa Ni zamu ya waliokulia Burundi wakina Gen. Kazura.
So far hata Mimi sijaona Kama kuna boss yoyote wa jeshi lao aliyetokea/kukulia Tz lkn nchi nyingine karibu zote za E/Africa yaani Burundi, Uganda,Congo zimeshatoa mkuu wa majeshi huko Rwanda.
Nyerere yeye ndio hakutaka kurithisisha watoto wake Urais, au sio!? Alikuwa bwege, au unaonaje!?Hakuna uongo hapo hawa ndio mbowe kua mwenyekiti miaka 30 ni sawa lakini Ridhiwan akija kua rais wanajifanya kushangaa, jomo kenyatta alikua Rais wa kenya, baadae uhuru kenyatta akawa Rais wa kenya pia, haya mambo hutakiwi kushangaa ni mzunguko uliojipanga toka enzi na enzi, leo muhooz akiwa Rais uganda hakuna cha kushangaa, yaani circle inazunguka humo humo tu inabidi watu wazoee au upambane uwe mwanasiasa uingie kwenye circle ili iwe rahisi kupiga simu wanao wasaidiwe
Akili nyingi hizo unazodai anazo, nasikia kazirithisha kwa Samia.Ndomana nasemaga kilq siku kikwete ana akili nyingi sana kuliko kagame na museveni...
Kenya washapita huko tulikobaki sisi. Uhuru na ushawishi wake wote alishindwa kupindua matokeo kum_favor Odinga. Na unaijua nguvu ya Rais kwa katiba zetu mbovu.
Of course ndio iko hivyo. Hawa wachache haiingii akilini wawatawale walio wengi na kuigeuza kuwa nchi yao.Habari ya watutsi kutawala Rwanda ipo kwenye last season hata pale Burundi wamepatawala kwa miaka mingi saana hadi pale 2005 Nkurunzinza na chama chake cha CNDD-FDD walivyoshika hatamu kwa msaada wa Tanzania na kumuondoa pierre Buyoya mtutsi wa mwisho kuitawala Burundi so hata hapo Rwanda ni swala la Muda tu.
Sawa hawezi kufanya kila kitu sawa. Ila ni wazi hakuna Rais wa Kenya atakuwa tena na nguvu ya kuiba uchaguzi, yaliyotokea wakati ule yameshawapa somo, hakuna aliye tayari kubebeshwa msalaba wa damu itakayomwagika.
HAPO KAMA.HUYO.MTOTO N WAKE NA MAMA PEMBENIPichani ni Ian Kagame (jina lake kamili ni lan Kagame Deogratius Rutagambwa) ambaye alijiunga na jeshi la nchi hiyo wiki iliyopita.