Luteni Jenerali Roger L. Cloutier wa Jeshi la Marekani atekwa na Makomandoo wa Urusi akiwa vitani Ukraine

Jibu swali,Russia hakuna mashoga?
[emoji16][emoji16] mapunga wapo Russia wakiongozwa na mabalozi wa US/EU na staffs wao walioko pale Moscow.Uzuri Vodka zipo,zitafanya kazi yake mujarabu[emoji16][emoji16]
 
Mkuu, kuna taarifa ya kwamba alijiua mwenyewe,lakini hii ya kujirusha kwenye umeme ina uzito pia kwa sababu jamaa aliwahi kujipiga risasi ikapita pembeni kidogo ya Moyo,baba yake alimdharau sana mwanae kwamba ameshindwa hata kujitoa uhai
so Historia ya jamaa haina uthibitisho kwamba alijiua mwenyewe au aliuawa,ipo kati,hakuna official doc nilizowahi kusoma zimethibitisha madai ya jamaa kuuwawa au kujiua
 
Hii Vita Tutasikia Mengi Sana Kila Mmoja Na Upande Wake Akiuona Bora Kuliko Mwingine
Acha Tuisimamie Kauli Ya Mama Vitu Vitapanda Bei Sababu Ya Vita
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Nyamizi na Mcqueenen vipi sleepy Joe ameshawaambia kilainishi latest Ni hicho au mna updates?
Haileti unafuu wowote dhidi ya uhalisia wa Putin kudharirika Ukraine,hakuna cha General wa US kutekwa wala nini lakini ni kweli Magenerals wa Russia wamepukutika Ukraine hadi RT ikaonyesha mazishi yao
 
kumbe kuna magenarali wa US wapo wanamzingua Putin hapo Ukraine ndio maana kashindwa kuteka miji ya maana kaishia kuizunguka Kyiv mwezi mzima
Si tuliwaambia RUSSIA anapigana vita na mataifa zaidi ya 30 (NATO) ila mlishupaza shingo zenu sababu ya mahaba niue toka kwa mabeberu wa USA na EU [emoji848]

RUSSIA ni Kidume na nusu kijana [emoji16]
 
Unaweza ukakuta kichwa chenyewe kina uwalaza na ushaambiwa akili ni nywele. [emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787] JF sing'oki kamwe [emoji38][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…