Luteni Jenerali Roger L. Cloutier wa Jeshi la Marekani atekwa na Makomandoo wa Urusi akiwa vitani Ukraine

Luteni Jenerali Roger L. Cloutier wa Jeshi la Marekani atekwa na Makomandoo wa Urusi akiwa vitani Ukraine

Zamotomoto kutoka katika uwanja wa Vita mji wa Mauripol, Makomandoo wa Urusi kutoka kikosi hatari zaidi Ulimwenguni cha Spetsnaz kilichochini ya KGB /FSB wamemteka Kamanda wa Jeshi la Marekani Luten General Roger L. Cloutier Jr, Pamoja na propaganda kadhaa za watu wasio rasmi wala wasemaji wa Marekani kukanusha taarifa hizo, lakini Pentagon na White House hawajatoa taarifa zozote.

Ifahamike kuwa hapo mwanzo Putin alionya kwamba mamluki yeyote atakayeingia Urus atashughulikiwa sawasawa na mhalifu na adui wa Moscow, Na ikikumbukwa ni wiki tatu tu waliposhanbuliwa Mamluki wa Uingereza katika miji ya Khakyiv nk. Sasa leo ni Marekani.

Huyu amekuwa akijichimbia kwenye kambi ya kijeshi ya Azov mjini Mauripol akiongoza vikosi vya Ukraine kwa muda mrefu na kutoa upinzani kwa majeshi ya Ukombozi ya Urusi. Taarifa toka Moscow zinasema kamanda huyu alikuwa akiongoza vikosi vya Walenga shabaha (snipers) ambao wengi wameshaanhamizwa.

Luteni General Roger amwahi kuongoza kikosi cha Marekani kilichoko Afrika (Africa Command HQ.

Taarifa zinasema kwa siku ya tatu sasa Marekani inahaha kumkomba bila mafanikio na imejaribi kila njia kumpigia magoti Rais Putin, ambapo kinyume chake Putin ameamuru General huyu na wenzake waliokamatwa wapelekwe Moscow

View attachment 2177884

View attachment 2177885

View attachment 2177891

View attachment 2177894

View attachment 2177895
Mnaokotaga huu upuuzi na takataka wapi??????
Yaani unaamua tu kutengeza stori yako...unalipwa????
Tafuta hela.......
 
Mtoto wa Stalin hakuuawawa na Nazi kwa maamuzi yao. Stalin alimtuma aende vitani frontline. Kule akatekwa, Ujerumani kugundua mtoto wa Stalin katekwa Hitler akatuma ujumbe mbiombio kwa furaha akimtaka Stalin wafanye prisoner exchange USSR imuachie Field Marshall Friedrich Paulus aliyejisalimisha kwenye mapigano makali sana na mwanzo wa Ujerumani kushindwa ya Stalingrad. Field Marshall Paulus alikuwa ndio wa kwanza wa cheo chake kujisalimisha kwenye jeshi la Ujerumani, hata angerudishwa its likely angeuwawa kwa kulitia aibu jeshi lao.

Stalin alisema siwezi badilishana Field Marshall na Lieutenant. Mwanae alijitupa kwenye uzio wa umeme alikokuwa ametekwa akapigwa risasi hapo
Shukrani Mkuu kwa kuweka sawa record
 
Zamotomoto kutoka katika uwanja wa Vita mji wa Mauripol, Makomandoo wa Urusi kutoka kikosi hatari zaidi Ulimwenguni cha Spetsnaz kilichochini ya KGB /FSB wamemteka Kamanda wa Jeshi la Marekani Luten General Roger L. Cloutier Jr, Pamoja na propaganda kadhaa za watu wasio rasmi wala wasemaji wa Marekani kukanusha taarifa hizo, lakini Pentagon na White House hawajatoa taarifa zozote.

Ifahamike kuwa hapo mwanzo Putin alionya kwamba mamluki yeyote atakayeingia Urus atashughulikiwa sawasawa na mhalifu na adui wa Moscow, Na ikikumbukwa ni wiki tatu tu waliposhanbuliwa Mamluki wa Uingereza katika miji ya Khakyiv nk. Sasa leo ni Marekani.

Huyu amekuwa akijichimbia kwenye kambi ya kijeshi ya Azov mjini Mauripol akiongoza vikosi vya Ukraine kwa muda mrefu na kutoa upinzani kwa majeshi ya Ukombozi ya Urusi. Taarifa toka Moscow zinasema kamanda huyu alikuwa akiongoza vikosi vya Walenga shabaha (snipers) ambao wengi wameshaanhamizwa.

Luteni General Roger amwahi kuongoza kikosi cha Marekani kilichoko Afrika (Africa Command HQ.

Taarifa zinasema kwa siku ya tatu sasa Marekani inahaha kumkomba bila mafanikio na imejaribi kila njia kumpigia magoti Rais Putin, ambapo kinyume chake Putin ameamuru General huyu na wenzake waliokamatwa wapelekwe Moscow

View attachment 2177884

View attachment 2177885

View attachment 2177891

View attachment 2177894

View attachment 2177895
Mpaka mda huu atakua hana marinda
 
Kabla ya yote wamtoe marindah kwanza,Ila wanaweza wakawa wanapotezea Muda wao tu wakashangaa huyo Gen. anakata mauno balaa full kuenjoy maana hayo ndio mambo Wamarekani/NATO na mashabiki wao wa JF wanaayapenda saaana.
 
Huyu endapo kweli ndio kaua majenerali waki rusi 7 kweli kiboko yao Kama mmoja anaua hao majenero wakija kumi putini atakuwepo kweli duniani endapo anatamani kuishi Putin athubutu kummaliza kweli ,endapo nikweli katekwa
 
Siyo majenerali wa USA tu! Ni USA, Ufaransa, Ujerumani, .... the list goes on + NATO. Kwa kifupi, Urusi anapigana na mataifa lukuki na amefanikiwa kuyabamiza kwa sehemu kubwa!
Hizi sasa porojo Mazee [emoji23][emoji23]
 
Jamaa alikuwa na roho ngumu yaani alimyacha mwanaye akafa wakati uwezo wa kumsaidia alikuwa nao?
Mkewe wa kwanza ambaye ni mama wa huyo mtoto alijiua kwa risasi. Huyo first born mwenyewe alijaribu kujiua kwa risasi akakosea shabaha akajeruiwa na kutibiwa na madaktari wa Kremlin. Stalin akamdharau eti hata kujilenga shabaha mwenyewe tu hajui.

Baadae miaka kama tisa mbele Stalin aliua madaktari wake bingwa wengi wao wakiwa Wayahudi kwamba walipanga kumuua. Mwishowe alipozimia wakaitwa madaktari waliostaafu na madaktari vijana kumtibu ila walikuwa washachelewa
 
Back
Top Bottom