Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,755
- 1,939
AminaMWENYEZI MUNGU ayajalie Amani mataifa haya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AminaMWENYEZI MUNGU ayajalie Amani mataifa haya
Tuangane kuombea Aman dunian maana wanaoumia ni wale wanyonge na masikinAmina
Yesu Kristo kamwe hatafanya Amani kama wahusika hawaihitaji amani hiyo. Halizimishwi mtu hapa. Yani waathirika wenyewe hawana ushirikiano, hawamsikilizi huyo Yesu na wala hawaoneshi juhudi zozote za kuisaka hiyo amani. Sasa kwa nini kumsumbua Yesu eti afanye amani? Njia walioichagua wao kwa hiiari yao, Yesu hawezi kuwalazimisha kitu tofauti. Sana sana atawaacha na muda ukipita ndo watajifunza na kuighairi njia hiyo. Ukisoma Mathayo 7: 7-8 inamaanisha lazima zifanyike juhudi za makusudi (binafsi au jamii) ili kukipata kile tunachahitaji. Ukilala au ukilaza damu utabaki kama ulivyo.Tuangane kuombea Aman dunian maana wanaoumia ni wale wanyonge na masikin
Fikiria kuhusu maisha ya wapalestina na Lebanon ndugu zetu Sudan na Kongo inatia huruma sana Sudan wanateseka aisee huku mabomu huku mafuriko
YESU KRISTO afanye Aman kwa watu wote
Upuuzi ya kujipa matumaimi hewaYeah sure kamanda huwa hauwawi anakuwa eliminated , liquidated or neutralized
Nawabs hii issue ingetokea Iran sifa Za Mossadi zingemiminika kila KonaLuteni Jenerali wa ngazi ya juu Igor Kirillov ambaye ni Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi cha Nyuklia, Biolojia, Kemikali (NBC) katika Jeshi la Urusi na Msaidizi wake wameuawa katika mlipuko uliotokea mjini Moscow.
Jenerali huyo alikuwa akiondoka kwenye makazi mapema Jumanne wakati kifaa kilichofichwa kwenye skuta (Scooter) kilipolipuka, Kamati ya Uchunguzi ya Urusi.
Vyanzo vya usalama vya Urusi vililiambia Shirika la Habari la Serikali Tass kuwa kifaa hicho kililipuliwa kwa mbali.
Siku ya Jumatatu, huduma ya usalama ya Ukraine ilimshtaki Kirillov bila kuwepo mahakamani, ikisema kwenye Telegram kwamba "alihusika na matumizi makubwa ya silaha za kemikali zilizopigwa marufuku". Serikali ya Ukraine bado haijatoa maoni yoyote kuhusu kifo cha jenerali huyo.
View attachment 3178789
Upuuzi upi!?Upuuzi ya kujipa matumaimi hewa