Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #21
Hawa wote walipata mafunzo vyuoni USSR na CUBA>>> Patrice Lumumba University of Russia: Ngome kuu ya majasusi wa KGB ya kufunza itikadi za Ujamaa kwa wanafunzi kutoka nchi masikini za Dunia ya Tatumafunzo walipewa na nani au tafuta kitabu cha terror international kuhusu Carlos, Mohamed Boudia na vikundi vingine vya kigaidi kama black September gang