Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #21
Hawa wote walipata mafunzo vyuoni USSR na CUBA>>> Patrice Lumumba University of Russia: Ngome kuu ya majasusi wa KGB ya kufunza itikadi za Ujamaa kwa wanafunzi kutoka nchi masikini za Dunia ya Tatumafunzo walipewa na nani au tafuta kitabu cha terror international kuhusu Carlos, Mohamed Boudia na vikundi vingine vya kigaidi kama black September gang
Sawa mkuu.Ukimaliza ya Putin tafadhali tuwekee ya huyo mwanamke
I have some of these books...tafuta kitabu cha terror international
Sasa si ndio vilevile tu. Hii ni sawa na kusema Daraja la juu pale TAZARA halijasimamiwa na Engineer Mfugale bali ni kazi ya serikali ya Dr. Magufuli JP.makundi yalikuwa yakifadhiliwa na kgb amba Putin alikuwa mwajiliwa
TBC hii kama sijakoseaJf ni zaidi ya Aridhio
Rais Magufuli ameweka rekodi ya kupeleka umeme kila kijiji Tanzania Hii haijawahi kutokea kwa Africa Ahsante Magufuli kwa kuwatumikia Watanzania.Huyo mwamba alishawahi kufika hadi Tz...tuandalie na hio story yake eehhView attachment 1551338
Huyu mzee hakika anaweza...Rais Magufuli ameweka rekodi ya kupeleka umeme kila kijiji Tanzania
Noma sana mkuu. Putin ni zaidi ya mzalendo kwa taifa lake.Noma
Noma sana mkuu. Putin ni zaidi ya mzalendo kwa taifa lake.
Tena anataka kuunganisha Belarus na Russia baada ya kuanza na Crimea na kufanikiwa kwa kishindo.Ndomana umwambii kitu kusu Russia na aliumia sana USSR ilivyoanguka na anatamani irudi tena
Crimea ya Ukraine?Tena anataka kuunganisha Belarus na Russia baada ya kuanza na Crimea na kufanikiwa kwa kishindo.
Tena anataka kuunganisha Belarus na Russia baada ya kuanza na Crimea na kufanikiwa kwa kishindo.
πππ...Putin hajawahi kuwa mfadhili wa hayo makundi bali hayo makundi yalikuwa yakifadhiliwa na kgb amba Putin alikuwa mwajiliwa
πPutin hajawahi kufadhili makundi ya kigaidi. Sema alisaidiana nayo kwa kuyapatia mafunzo. Siyo kufadhili.
Fr[emoji109][emoji109][emoji109]...
Usisahau kunitagKulikuwa na dada mmoja mrembo sana "Female Assassin" wa idara ya ujasusi ya KGB aliwahi kuficha risasi mbili ndani ya uke wake alipoenda kumuua mfanyabiashara mmoja maarufu sana katika hotelini huko jijini Minsk mji mkuu wa nchi ya Belarus.
Mfanyabiashara huyo alikuwa amepishana kauli na serikali ya USSR mwaka 1979.
Nipo ninaiandaa hiyo story alafu nitaiweka humu HARAKA SANA.
Sawa...Usisahau kunitag